Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Una kiherehere sana na Sukuma Gang yako nani amewataja?Dunia inaenda kasi sana, leo hii chadema hawaonekani tena kupinga serikali ila sukuma gang ndio wamekuwa wapinzani.
Sukuma Gang Chadema imewakaa sana mioyoni mwenu,mjue marehemu wenu anawaona mnavyomsalitiChadema imeshakufa Kwa hiyo acha upinzani mpya ushike hatamu
Zipi na yeye kasema huna kabisa?Akili zangu ulitaka nawewe uzitumie?
Ni kweli maana kama kusingekuwa na sukuma gang ina maana sasa hivi inchi ingekuwa haina wapinzani serikali isingekosolewa.Chadema imeshakufa Kwa hiyo acha upinzani mpya ushike hatamu
Watu wako ili kupiga hela awamu hiiSamia ni Kiongozi ,kwanza mswahili, alafu akapata Washauri wabovuuuuu kwelikweli, wengi wa Washauri wa Samia, ni walamba Asali.
Wewe elewa tu kuwa kwa sasa kama wasingekuwepo sukuma gang inchi ingekuwa haina wakosoaji wa serikali, ingekuwa nchi ya ajabu sana.Una kiherehere sana na Sukuma Gang yako nani amewataja?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tutakukata mapumbu Kwa msumenoMimi niwe kiongozi wa Hilo kundi la waasi Niko Tyr kabisa
Achana na jealous wewe mulitutetsa sana kipindi cha marehemu....Thank you sir God tar 17 mwezi huuMimi niwe kiongozi wa Hilo kundi la waasi Niko Tyr kabisa
Uajabu huu hamkuuona wakati magufuli anauwa na kuteka wakosoaji?Wewe elewa tu kuwa kwa sasa kama wasingekuwepo sukuma gang inchi ingekuwa haina wakosoaji wa serikali, ingekuwa nchi ya ajabu sana.
Safi sana wahuni hawa....wataki amani walizoe kumwaga damu zawatu bila hurumu .Tutakukata mapumbu Kwa msumeno
Kama wasingekuwepo wakosoaji wakati huo basi watu wasingeuliwa ila walikuwepo wakosoaji wakati huo, na sasa hivi hakuna hayo mauwaji mnayodai yalikuwepo kipindi cha Magu ila wakosoaji pekee wa serikali ni sukuma gang tu basi.Uajabu huu hamkuuona wakati magufuli anauwa na kuteka wakosoaji?
Leo ndio munaona umuhimu wa upinzani? Muli kuwa munawatwanga risasi hadharani wakina Lissu, kupoteza Sanane , Azory, kuteka ,kuua,kununua wapinzana feki n.k nyie mavi tuuWewe elewa tu kuwa kwa sasa kama wasingekuwepo sukuma gang inchi ingekuwa haina wakosoaji wa serikali, ingekuwa nchi ya ajabu sana.
Ndio maana nimemuuliza huyo mpumbavu hapo juuLeo ndio munaona umuhimu wa upinzani? Muli kuwa munawatwanga risasi hadharani wakina Lissu, kupoteza Sanane , Azory, kuteka ,kuua,kununua wapinzana feki n.k nyie mavi tuu
Sawa sie mavi ila ndio watu pekee tunao kosoa serikali sasa hivi.Leo ndio munaona umuhimu wa upinzani? Muli kuwa munawatwanga risasi hadharani wakina Lissu, kupoteza Sanane , Azory, kuteka ,kuua,kununua wapinzana feki n.k nyie mavi tuu
Ok kwahiyo hoja yako ni ipi au ulitakaje? Ulitaka wote tusikosoe serikali tunyamaze?Ndio maana nimemuuliza huyo mpumbavu hapo juu
Hoja yake uache unafiki na uzandiki.Ok kwahiyo hoja yako ni ipi au ulitakaje? Ulitaka wote tusikosoe serikali tunyamaze?
Kende kabisa wewe ...muli uwa watu wengi na marehemu nyieSawa sie mavi ila ndio watu pekee tunao kosoa serikali sasa hivi.
Hamkosoi bali mnaomboleza ule mzoga wenuSawa sie mavi ila ndio watu pekee tunao kosoa serikali sasa hivi.