Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

Kwani yuko wapi kwa sasa
Poor him
 
na mungu alivyo mkuu hata sisi mashabiki wa yanga tushasahau kama tulikuwa na mchezaji anaitwa fei...imagine tulivyoteseka kwa miaka minne bila ubingwa,imagine timu yako inabatizwa jina kama utopolo,imagine una mchezaji dizain ya yikpe na nchimbi kwenye timu,imagine morrison akiwa ndo mchezaji tegemezi baada ya nusu msimu tu anaenda kusaini simba,imagine lile domo la manara dhidi yetu yanga

kwenye hili la fei mungu kasema sitaweza kuwatesa tena wana yanga japo fei ni kipenzi chetu cha ajabu mashabiki tumekuwa hatuna habari na kutokuwepo kwake...forever forward
 
Akafie mbali fursa za watanganyika haziwahusu wazanzibari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nauliza tu, hivi ukishitakiwa mahakama kuu ukakutwa na hatia ukahukimiwa jera miezi 6 lakini wewe ukulidhika na hukumu iliyotolewa kwahiyo ukaamua kukata rufaa mahakama ya rufaa, kipindi hicho ambacho unafanya process za rufaa inabidi uwe gerezani au unakaa nyumbani kisa ukulidhika na hukumu na una mpango wa rufaa?
 
Kweli wenye akili ni wawili tu.Mlifanya mpaka mkutano wa wazee wa Yanga mkiwalaumu Azam.Mkatishia kususia bidhaa za Azam, ujinga ulioje.
Sasa mmetapatapa mnaanza kuilaumu Simba.
Mnampa mshahara wa tarishi akagoma mnasingizia wengine wote isipokuwa ujinga wenu.
 
Wasipo mpa mshahara mnakuwa mmekiuka masharti ya mkataba.

Hiyo ina apply kama mchezaji kaitumikia club miezi mitatu mfululizo bila kupewa mshahara, vp Fei kaitumikia Yanga ndani ya miezi mitatu mfululizo bila ya kupewa mshahara?.

Sasa mtu haitumikii club mshahara anapewa wa nini? Kuna timu ulaya kama tu huonekani mazoezini bila sababu ya msingi wanakata mshahara.

Vip kainisha sababu ya kukosa mazoezini? Yanga sasa hivi wanakusanya vielelezo ,ile barua ya pili waliyo andika ni wanafuata procedure ila baada ya hapo atakutana na sheria za usajili za FIFA.
 
Sheria za FIFA kuhusu usajili zinasemaje kwa kesi kama hii ya Fei?
 
Player plainly refuse or do not come(where)?without the federation approval explicit or not,the federation can ask FIFA to fine the player and worst,suspend him.
Inazungumzia usajili ??Kifungu hicho kipo kwenye kanuni gani ya FIFA?
Nime utoa Quora forum kulikuwa na mjadala unao fanana na huu.

 
Acheni kumlipa tuwaone jeuli yenu.
 
Kama kuna mtu mpumbavu hapa ni wewe unayedhania mashabiki wa Simba ndio walimpoteza Fei.

Nikukumbushe tu,hakuna shabiki aliyeuona mkataba wa Fei na yanga,waliouona ni wanasheria wake ambao ndio walimshauri awe na msimamo kwa kuwa waliona mapungufu ya mkataba.

Kifupi TFF iliamua kesi ya Fei Toto kihuni sana,bila kuwa na wekedi.
Wakukaumiwa hapa ni TFF.Maana uhuni walioufanya ni sawa na uhuni wa kubandika mdhamini mpya kwenye jezi zao bila makubaluano na mdhamini mkuu na bado umeona yanga hawajafanywa chochote na hawatafanywa chochote.Michezo ya kihuni wanayofanya ina baraka na baadhi ya wenye mamlaka.



Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tui
TFF walipo amua kesi ya Morrison hawakua wahuni, imekuja ya Feisal waamekua wahuni? mkataba wa Sportpesa na Yanga unao utupe vifungu vilivyo vijwa?
 
Simba tena??😲😲 Fei toto anajua anachokitaka, afterall mashabiki maandazi wa Yanga waliimba uwanja mzima hawamtaki Fei toto baada ya kurise complain juu ya maslahi yake(possibly hili ndilo lilimfanya akwazike zaidi). Fei hayumbishwi na propaganda zenu za kuonekana sijui kimataifa, anajua fika hamfiki mahali utopolo nyie😜
 
Wanasiasa kwa kushirikiana na viongozi wa TFF ndio wamemsaliti Fei Toto.

Shirikisho la Mpira linaongozwa kihuni na wahuni kuua vipaji vya wachezaji wetu na mpira wetu.
Kolo lingine hiloo. Wanasiasa wamemponza kivipi kama si ulaggai wa Makolo wenzio
 
We mgonjwa mtafute aliyemshauri feitoto umlalamikie.Utakuta walitaka kumkabwili mna maana ninyi.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…