Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kwani yuko wapi kwa sasaHakika wewe ni mbumbumbu uliye bobea, Yanga kama taasisi Ipo ndani ya Malengo yake mpaka Sasa.
Inacheza Makundi Africa na Inaongoza ligi na upo uwezekano mkubwa ikatetea makombe yake yote.
Feisal kama mchezaji amepoteza vitu vya Msingi katika maisha ya soka. Amepoteza nafasi(platform) ya kuonyesha kipaji chake katika mashindano ya Caf icho ni kitu kikubwa Kwa mchezaji anae jitambua.
Amepoteza furaha na muda wote anakua mpweke na mwenye mawazo mengi yanayo husu maisha yake ya soka.
Kama atakaa muda mrefu nje ya soka, upo uwezekano akirudi kucheza soka asiweze kifikia kiwango alicho fikia Sasa kwakua mazingira hayatakua kama yalivyo Sasa.
Uminifu wake na waajiri wake wapya utakua mashakani Kwa namna alivyo achana na Yanga kunaleta Tafsiri nyingi Kwa mwajiri mpya.
Poor him