Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

Mkataba wa fei hauwezi kuisha 2024 sababu hajautumikia utamdai huko mbele kifupi ni kwamba ameyakanyaga

Kivipi ebu fafanua mkuu maana yanga washasema fei arudi kazini bado ni mchezaji wao means yanga wataendelea kumlipa mshahara ,lakini bado ashavuta mkwanja wa azam 400m ambayo inampa jeuri...inakuwaje ale kote kote? Hakuna chance ya fei kukatisha mshahara huku akiwa bado mchezaji wao?
 
Uthibitisho gani wakati dogo anafanya uhuni kisa analipwa hizo 4m bila kuifanyia kazi? Kalamba 400m ya azam na huku yanga bado anabunya huo ni uhuni fei anaoufanya.
Katika kesi kila kitu ni ushahidi. Yanga ikiamua kutomlipa Feisal inamaana itakuwa imekiuka mkataba tayari ni kama na wao wameufyata kuuvunja mkataba kwasababu hautekelezi yaliyomo kwenye mkataba. Hivyo wanachokifanya ni kwanza kuandika barua kwa Feisal kumuhitaji kazini, ili badae waje kumbana Feisal kwa sheria. TFF walishakiri kuwa Feisal ni mchezaji wa Yanga, Feisal hakujiunga na timu. Yanga wanamlipa mshahara lakini Feisal hajajiunga na timu. Yanga wanaandika barua kama kumbukumbu kumtaka arejee kazini ila amekaidi. Hivyo Yanga ikikusanya ushahidi wa kutosha, inaweza kuchukua hatua zinazofuata kisheria.
 
Kivipi ebu fafanua mkuu maana yanga washasema fei arudi kazini bado ni mchezaji wao means yanga wataendelea kumlipa mshahara ,lakini bado ashavuta mkwanja wa azam 400m ambayo inampa jeuri...inakuwaje ale kote kote? Hakuna chance ya fei kukatisha mshahara huku akiwa bado mchezaji wao?
Mkataba una run pale mtu anapo kua eneo lake la kazi, unless otherwise mwajiri wake ana taarifa za udhuru, kama haupo kazizni unahesabika mtoro hivyo utakapo rudi kazini itabidi uzitumikie zile siku ambazo haukua eneo la kazi , Yanga wanamlipa ili asije kusema hakulipwa ndio maana aligoma na hata akibadili account number wao wana deposit tu ile hela itakaa kama mtego huko anakotaka kwenda itamuletea shida maana ataulizwa kwanini amebadili details za bank bila kuwasiliana na mwajiri wake atajibu nini?
 
unaelewa maana ya kupujwa? mbona akili unazo ila unajitoa fahamu?
Bora mimi akili ninazo ila nazipumzisha kwa matumizi ya baadae, wewe huna akili kabisa. Kwani mimi ndiye niliyesema Feisal anapunjwa mshahara au ni kauli ya Feisal mwenyewe?
 
Bora mimi akili ninazo ila nazipumzisha kwa matumizi ya baadae, wewe huna akili kabisa. Kwani mimi ndiye niliyesema Feisal anapunjwa mshahara au ni kauli ya Feisal mwenyewe?
kumbe nmekupa heshima ambayo huna samahani kumbe akili huna, mtu ane pujwa alipata wapi hizo million 114 ? nmekuuliza unaelewa maana ya kupujwa wewe mkosa akili?
 
kumbe nmekupa heshima ambayo huna samahani kumbe akili huna, mtu ane pujwa alipata wapi hizo million 114 ? nmekuuliza unaelewa maana ya kupujwa wewe mkosa akili?
Wewe taahira mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe? Huu upuuzi wako shirikisha wajinga wenzako hapo utopoloni. Huna akili.
 
Hakika wewe ni mbumbumbu uliye bobea, Yanga kama taasisi Ipo ndani ya Malengo yake mpaka Sasa.
Inacheza Makundi Africa na Inaongoza ligi na upo uwezekano mkubwa ikatetea makombe yake yote.
Feisal kama mchezaji amepoteza vitu vya Msingi katika maisha ya soka. Amepoteza nafasi(platform) ya kuonyesha kipaji chake katika mashindano ya Caf icho ni kitu kikubwa Kwa mchezaji anae jitambua.

Amepoteza furaha na muda wote anakua mpweke na mwenye mawazo mengi yanayo husu maisha yake ya soka.
Kama atakaa muda mrefu nje ya soka, upo uwezekano akirudi kucheza soka asiweze kifikia kiwango alicho fikia Sasa kwakua mazingira hayatakua kama yalivyo Sasa.
Uminifu wake na waajiri wake wapya utakua mashakani Kwa namna alivyo achana na Yanga kunaleta Tafsiri nyingi Kwa mwajiri mpya.

Makundi yepi tofautisha bas maana kunamakundi mawili tofauti
 
Hautakiwi kwenda kwenye vita ambayo unajua kabisa unashindwa.

Fei alichemka sana labda azam wamuachie hizo 400m aendelee kuzibunya huku kiwango kikishuka ,waje kumkata 2024 huko mkataba wake ukiisha.

Yanga wasimpe Mshahara kabisa.
Wasipo mpa mshahara mnakuwa mmekiuka masharti ya mkataba.
 
Taarifa zilizopo Feisal amebadilisha account yake aliyokua akifanyiwa malipo na Yanga Kwaiyo mojakwamoja Yanga wanapata Fursa ya kutoweza kumlipa Feisal na bado ataendelea kutambulika kama mchezaji wa Yanga mpaka mkataba wake utakapo kwisha, Hii inamaanisha ki Sheria Feisal amewasaidia Yanga uku akifikiri amewakomoa.
Hakuna sehemu Yanga wata athirika Kwa kutomlipa Feisal ujira wake wa Kila mwezi.

Feisal alikua mchezaji mzuri lazima Yanga wa huzunike Kwa yaliyo tokea ila Kwa mambo yanavyo kwenda watamsahau kama ilivyo wahi kutokea Kwa baadhi ya wachezaji vipenzi vya mashabiki uko Nyuma.

Miaka ya karibuni Azam au Simba waliwahi kuwachukua Didier Kavumbagu, Frenk Domayo, Mrisho Ngasa, Donald Ngoma, Obrey Chilwa , Haruna Niyonzima, Ibrahimu Hajibu na bado maisha yaliendelea na Yanga kutwaa Mataji.

Bahati Mbaya wengi kama si wote ambao waliondoka vibaya pale Yanga na mpira wao wa kiwango Cha juu ulikwenda kwisha au kupotelea pale Azam au Simba.
Kitendo cha yeye kubadilisha account ni mtego kwa yanga ili mshindwe kumlipa apate sababu nzuri ya kuwabamiza atapo enda cas.
 
Kitendo cha yeye kubadilisha account ni mtego kwa yanga ili mshindwe kumlipa apate sababu nzuri ya kuwabamiza atapo enda cas.
Hahaha bush lawyer

Sasa mkataba wake wa awal aliosain na yanga aliwapa akaunt ya kupokea mshahara wake Kama amebadilisha s kosa la yanga n yeye mwenyewe kaamua yanga watasimama na mkataba wa awali

Sawa nawe n mtumish wa umma akaunt ya mshahara unaiblock unadhan mwajir wako taumia Zaid atafurahia tu
 
Back
Top Bottom