Sijui hata Kama ulikuwa unajua road reserve ya morogogo ilikuwa inaishia wapi!Sisi tulifuata sheria katika kujenga nyumba zetu nyinyi ambao mlitumia pesa zenu za wizi kuvunja sheria ndiyo maana mnahangaika kwelikweli na mtaendelea kuhangaika tena tu.
Nikuulize. Je, baada ya kuwaondoa vyeti feki zaidi ya elfu 10. Aliajiri wangapi wengineSasa huyo mwenye vyeti fake ulitaka asaidiweje? Kwanza alisababisha wengine wasipate kazi hiyo wakati wametumia uwezo wao na pesa zao kusoma yeye anatumia njia ya uongo hata Mungu hapendi ndiyo maana akayapata hayo aliyoyapata!
Amesema "Sisi" maana yake wewe na wenzio "nyie" hampo.Ungesema wewe siyo mjinga. Badala ya kuongelea nafsi ya mtu.
Mimi sipo hapo kwenye “Sisi”
Kutokutumia haina maana kuwa siyo road reserve! Si lazima road reserve itumike leo yote. Ndiyo maana ikaitwa road reserve. Eneo la Morogoro road limekuwa planned tangu 1972 kwa upana huo hao waliojenga walivamia tu wenye eneo hiyo walilipwa mwaka 1972 wakati wa planning.Sijui hata Kama ulikuwa unajua road reserve ya morogogo ilikuwa inaishia wapi!
By the way morogoro road inakaribia kuisha, utagundua Kuna eneo hata halijatumika kwa ajili ya barabara
Nakumbuka hotuba yake kule Kigamboni akiwananga waliokumbwa na mafuriko kwa kuwaambia "kwakuwa wanang'ang'ania kuishi mabondeni, wacha mafuriko yawabondoe". Kiukweli Jiwe ana maneno ya kuudhi sana!SISI SIYO WAJINGA.
Anajibu watu kwa nyodo, ana kiburi na dharau.
Wameajiliwa wengi tu hata sasa hivi wametangaza nafasi 154 za madaktari, walimu wameshajiriwa wengi tu pia vyombo vya ulinzi na usalama wameajiliwa almost 3,000+Nikuulize. Je, baada ya kuwaondoa vyeti feki zaidi ya elfu 10. Aliajiri wangapi wengine
Endelea kujitoa ufahamuWameajiliwa wengi tu hata sasa hivi wametangaza nafasi 154 za madaktari, walimu wameshajiriwa wengi tu pia vyombo vya ulinzi na usalama wameajiliwa almost 3,000+
Sasa ulitaka awaambie nini? Kwa nini ukajenge sehemu ambayo unajua ni bondeni na ni hatari kwa maisha yako??Nakumbuka hotuba yake kule Kigamboni akiwananga waliokumbwa na mafuriko kwa kuwaambia "kwakuwa wanang'ang'ania kuishi mabondeni, wacha mafuriko yawabondoe". Kiukweli Jiwe ana maneno ya kuudhi sana!
Well said mkuu!!Waliobomolewa nyumba zao watanyima kura lakini wanaofaidika na upanuzi wa barabara watazifidia hizo kura.
Waliofukuzwa kazi kwa vyetu feki watanyima kura lakini waajiriwa wapya waliosota kutafuta elimu halali watazifidia hizo kura.
Kila atakayenyima kura kwa kigezo fulani basi upande mwingine wa kigezo hicho kuna atakayefidia hiyo kura.
Kulalama tu na kutafuta uhalali wa kunyima kura hakuwezi kumnyima kura mtu aliyefanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa taifa.
Wewe ndiyo unajitoa ufahamu! Kila kitu kina faida na hasara yake!Endelea kujitoa ufahamu
Mungu atakua hakimu wetu akishindwa kutoka October, anapata kazi ya kumsaidia The Arch Angel Michael alipeleka maombi siku nyingi sana.Wakati pekee wa kila mtza kulipiza kisasi ni October 28 nje ya hapo ni hadi 2040 miaka 20 mbele ndo atatoka madarakani,atatumia kisingizio cha miradi atawale milele rejea kauli za Ndugai na wapambe wake.
Mafuta yule mkuuIla huyu mzee alifanya mambo ya ajabu.. hana hata mshipa wa aibu?
Mkuu hata wanaccm ni miongoni wa wanaotukandamiza,familia chache zinazoimiliki ccm ndo zinatufanyia hayaNyinyi ni wajinga tu, mngekuwa sio wajinga msingevumilia ukandamizaji unaofanywa na wanaccm dhidi yenu.
Zaidi ya October tukubali kulala bila boksa mileleMungu atakua hakimu wetu akishindwa kutoka October, anapata kazi ya kumsaidia The Arch Angel Michael alipeleka maombi siku nyingi sana.
Hata wakati ule ulidanganya dunia hivyo hivyo!! Wewe hangaika na kizee chako cha kizungu hapo UK ya TZ hayakuhusu!Mungu atakua hakimu wetu akishindwa kutoka October, anapata kazi ya kumsaidia The Arch Angel Michael alipeleka maombi siku nyingi sana.
Wewe umechukua hatua? Una uhakika gani kama tunavumilia ukandamizaji.Nyinyi ni wajinga tu, mngekuwa sio wajinga msingevumilia ukandamizaji unaofanywa na wanaccm dhidi yenu.