Uchaguzi 2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

Sisi sio wajinga.
Tumejaza fomu za kutia Nia uongozi CCM Watumishi zaidi ya 7000 nchi nzima,matokeo yake umetukata mishahara miezi miwili ,mikopo tuliyokuwa tumekopa bank kupitia mishahara yetu bank zinatudai haikulipwa, pension hazo hukutuma kwa miezi hiyo miwili, matokeo yake Sasa mwezi wa tisa Watumishi hawatalipwa mishahara kwa sababu mshahara wa mwezi wa tisa utalipa Deni la bank la mwezi wa Saba na mwezi wa tisa,pili mwezi wa kumi watumishi hawatalipwa Tena mshahara kwa sababu watalipa Deni la bank la mwezi wa August na mwezi wa kumi. Kwa mantiki hiyo watumishi watalipwa mishahara mwezi wa Nov 2020. Hovyo mtumishi kugombea kupitia ccm imemsababishia hasara ya kukosa mishahara miezi minne , kutolipiwa pension miezi miwili,Kununua fomu ya ccm sh 100,000 na kuchangia gharama za uchaguzi sh 1,000,000/= pamoja na mtumishi kuaibika.

Mtumishi aliyetia Nia kugombea CCM na kukosa kura za maoni, kuichsgua ccm ni sawa na kuchukua kamba na kukimbilia porini ukajinyonge ili ufe.
 
Anayelipa kisasi huwa hatangazi huna lolote.
Najiuliza hivi watu kama nyinyi Mnaishi Tanzania?..Mbona mmejawa unafiki?.. KATIKA hoja zilizotajwa pangua japo hoja moja Kwa hoja Ila umekuja kuleta maneno AMBAYO mwandishi wala hajasema!.... #TANZANIA NI YETU SOTE#
 
October Ni siku maalumu watz tualikane kwa wingi kwa hasira tukalipe kisasi kwa kulisagasaga jiwe kwa mateso ya miaka 5 kuishi Kama wakimbizi nchini kwetu. Tukirudia Tena kosa tumekwiishaa, wasiojulikana, mauaji, kubambikwa kesi, ukabila, udini, teuzi za ukabila na udini, Kama tumelimia meno 5 yrs tutalimia kucha this time.
Hatuwezi ongozwa na kanuni za kuongozea mifugo ndizo zitumike kuongoza watu
 

Attachments

  • Screenshot_20200902_103219.jpg
    52.9 KB · Views: 2
Ni wachache sana wanao ona hayo uliyo yasema. Wengi wanakubali kuendelea kudanganywa bila kujifikiria.
Alipoagiza bomoa bomoa, alipofika kwao, akasema wasibomolewe maana wao ndo waliompa kura.

Leo anasema yeye ni rais wa wanyonge, kumbe yeye ni rais wa kijijini kwao.
 
Mkuu pole sana,

Kwa uliyotaja yanafikirisha yanaumiza ni wachache watakuelewa.

Napata wakati mgumu kujiuliza kwa nini wengine wanaona ni Heri akaendelea kutukanyaga.
Kwa sababu maendeleo yoyote yana maumivu,
Lakini najua hakuna mtu anaweza kuvunjiwa nyumba kama yupo ki halali.
Mnayosema mimi yalisha nitokea,

Nilinunua kiwanja sehemu kisha mnunuzi akaondoka kwenda marekani, nilipofata watu wa ardhi kuja wanionyeshe mipaka,
Walipofika wakanambia hilo ni eneo la shule na wale ambao bado wako na nyumba zao walishalipwa miaka ya 70 hivyo wako tu lakini hapatakiwi kuendelezwa
Hivyo nikatokomea mpaka sasa, ingawa yapata miaka kumi na name bado hawajajenga chochote pale. Kutokuwa mjinga hakutokufanya ubadili matokeo
 
"Serikali hakuleta tetemeko" mwisho wa kunukuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Pale unapouziwa mbuzi kwenye gunia.
Kwa hivyo mkuu kutia nia kupitia CCM imekupora vijisenti ulivyoshinda kuvipangia bajeti.Matokeo yako wamekukata mshahara wa mwezi mmoja kama likizo bila malipo.
 
Kama ulijenga kwenye hifadhi ya barabara lazima ubomolewe tu hakuna namna! Ndiyo nyinyi mliokuwa mnatumia pesa zenu za wizi kujenga popote tu kwa sababu ya pesa zenu za wizi. Mtaendelea kuisoma namba mpaka mkome!
"Mwanza mlinipa kura hivyo msibomolewe"",mwisho wa kunukuu
 
Sasa huyo mwenye vyeti fake ulitaka asaidiweje? Kwanza alisababisha wengine wasipate kazi hiyo wakati wametumia uwezo wao na pesa zao kusoma yeye anatumia njia ya uongo hata Mungu hapendi ndiyo maana akayapata hayo aliyoyapata!
Wamjua bashite na sifa yake kuu?
 
Jamaa kamfukarisha kila mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…