peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sisi sio wajinga.
Tumejaza fomu za kutia Nia uongozi CCM Watumishi zaidi ya 7000 nchi nzima,matokeo yake umetukata mishahara miezi miwili ,mikopo tuliyokuwa tumekopa bank kupitia mishahara yetu bank zinatudai haikulipwa, pension hazo hukutuma kwa miezi hiyo miwili, matokeo yake Sasa mwezi wa tisa Watumishi hawatalipwa mishahara kwa sababu mshahara wa mwezi wa tisa utalipa Deni la bank la mwezi wa Saba na mwezi wa tisa,pili mwezi wa kumi watumishi hawatalipwa Tena mshahara kwa sababu watalipa Deni la bank la mwezi wa August na mwezi wa kumi. Kwa mantiki hiyo watumishi watalipwa mishahara mwezi wa Nov 2020. Hovyo mtumishi kugombea kupitia ccm imemsababishia hasara ya kukosa mishahara miezi minne , kutolipiwa pension miezi miwili,Kununua fomu ya ccm sh 100,000 na kuchangia gharama za uchaguzi sh 1,000,000/= pamoja na mtumishi kuaibika.
Mtumishi aliyetia Nia kugombea CCM na kukosa kura za maoni, kuichsgua ccm ni sawa na kuchukua kamba na kukimbilia porini ukajinyonge ili ufe.