Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo unasema hivyo ila watu wakiamua kupatana,, wanapatana vizuri tu na maisha yanaendelea,, ni siasa tu za chuki zilizopandikizwa na mmarekani lkn ktk maisha ya kawaida huwezi kukuta raia wa Syria anamchukia msaudia,,, na kwa kuliona hilo ndio maana wamesaini peace,,,, ni sawa na Ukraine/urusi raia wa kawaida hawana chuki wala ugomvi baina yao isipokuwa siasa ndo imeleta balaaWaarabu hawatakuja kupatana hilo sahau.
Unaposema ataichukua umeshaangalia consequence zake.Kaka haijalishi UN aitambue au Nchi zingine iitambue kuwa Taiwan ni Nchi,siku China bara akitaka kuichukua ataichukua tu hata na huyo USA ukiangalia.
Sio kwamba USA anawapenda sana wataiwani bali anawatumia kama mtego wa kuiangusha China kiuchumi,situation ya China na Taiwan haina tofauti na ule wa Ukraine na Russia.But at the end China atazichanga karata zake na Taiwan itachukuliwa tu kwa njia yoyote maana China hawezi kuruhusu Taiwan kubwa kama fimbo dhidi yake.
UN haiitambui ila nchi wanachama wanaitambua na wengine wapo neutralMbona unajichanganya mjomba,UN haitambui Taiwan kama Taifa.
Daaaah,kwa hiyo Mafia wana Raisi wao?Kwani wewe unavyoona kwa sasa mafia ipo Tanzania?
Mengine unaongea ki ushabiki bila kufuata uhalisia...Chini ni Jirani sana na ndugu zao Taiwan, Taiwan ni sehemu ya nchi ya watu wa Taiwan na wanayo mamlaka kamili. Ukiwa na mamlaka kamili uwezi kuchaguliwa marafiki wa ku side nao.Well said mkuu, sasa na Wachina waanze kuwachochea na kuwapelekea silaha kisiwa cha Hawaii Merikani ilicho ki-annex kwa nguvu kutoka kwa Queen Lililokuani kwenye miaka ya late 1800s. Vile vile Wachochee na kuwapatia silaha raia wa jimbo la Texas ili wajiunge tena na Mexico, si Wamerika wana tabia ya kuvuruga mataifa yasielewane kwa manufaa yake - basi na yeye afanyiwe kweli hata kwenye visiwa vya Guam ,Diego Garcia na Okinawa.
Kuna lugha ya kigeni hapo labda ndio Google translator imemuambia hivyoHuyo ni former President of Taiwan anasema wote ni wachina wewe wasema ana tumiwa na China bara, wewe ndie unapaswa kuaminiwa sio yeye ? Ok
Kama Taiwan isharudi china basi XI atoe maelekezo yoyote kwa serikali ya Taiwan tuone kama yatafuatwaTaiwan ilirudi China toka katika utawala wa Japan since 1945
Suti nyeusi haimkatai mwanaume yeyote"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.
Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in comments provided by his office.
Ma anatumai ujenzi wa amani utafanyiwa kazi na pande zote mbili,
"We sincerely hope that the two sides will work together to pursue peace, avoid war, and strive to revitalise China,"
Ma alisisitiza kuwa hili ni jukumu la wachina wote,
"This is an unavoidable responsibility of Chinese people on both sides of the Strait, and we must work hard."
View attachment 2581959View attachment 2581960
Kama yapi ?
Kama ya Pelosi asifanye ziara Taiwan, au rais wa Taiwan asionane na spika wa US na akithubutu amtumbueKama yapi ?
Unafahamu kwamba Taiwan soon sehemu ya china na Wala XI hana mamlaka yoyote juu ya Taiwan?Unafahamu kuhusu hivi vitu ROC,PRC,MSAR,HKSAR
Umezingatia nilicho kuuli
Ndiyo, Vip wewe umezingatia kwamba Xi hata kwenda tu Taiwan ni kwa ruksa ya serikali ya Taiwan?Umezingatia nilicho kuuliza
amekuwa madarakan tang 1949? usipende ku expose madhaifu yakoWakutumiwa anatumiwa aliyeko madaraki maana yeye ndiye mwenye karamu! Kwani uongo kuwa Taiwan sio Wachina?
sehem gan nyingine ya China ina serikali yake , bungu lake na mahakama yake ? au ushawai ona jimbo/mkoa la hivyo popote pale duniani ?Taiwan ni sehemu ya China toka 1945. Ulitaka apambanie nini zaidi ya kuhimiza amani baina yao kama ambavyo alivyo fanya
kapime akili zako , wataiwan wenyew wanajua sio sehem ya china tangu 1949 tofautisha kuwa sehemu ya china na kuwa wachina , Austria na Ujeruman wote ni wajeruman ila Austria sio sehem ya UjerumanNdio