Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

Waarabu hawatakuja kupatana hilo sahau.
Wewe ndo unasema hivyo ila watu wakiamua kupatana,, wanapatana vizuri tu na maisha yanaendelea,, ni siasa tu za chuki zilizopandikizwa na mmarekani lkn ktk maisha ya kawaida huwezi kukuta raia wa Syria anamchukia msaudia,,, na kwa kuliona hilo ndio maana wamesaini peace,,,, ni sawa na Ukraine/urusi raia wa kawaida hawana chuki wala ugomvi baina yao isipokuwa siasa ndo imeleta balaa
 
Kaka haijalishi UN aitambue au Nchi zingine iitambue kuwa Taiwan ni Nchi,siku China bara akitaka kuichukua ataichukua tu hata na huyo USA ukiangalia.

Sio kwamba USA anawapenda sana wataiwani bali anawatumia kama mtego wa kuiangusha China kiuchumi,situation ya China na Taiwan haina tofauti na ule wa Ukraine na Russia.But at the end China atazichanga karata zake na Taiwan itachukuliwa tu kwa njia yoyote maana China hawezi kuruhusu Taiwan kubwa kama fimbo dhidi yake.
Unaposema ataichukua umeshaangalia consequence zake.

Ukilinganisha mgogoro wa China-Taiwan na Russia-Ukrain utakuwa unakosea.

Kiuhalisia ilikuwa inatazamika kama ni rahisi sana kwa Russia kuichukua Ukraine lakini sasahivi tumemaliza mwaka na hakuna hizo dalili.

Ukiiangalia China iko kwa namna ngumu kuichukua Taiwan kwani wanajua kitakacho wakuta.

China is a major importer wa fuel Asia. Zaidi ya 75% ya mafuta anaagiza na yanakujakupitia south China sea. Vita ikianza meli za mafuta zikipigwa block hakuna kifaru wala nyambizi wala ndege itakayo weza kuruka.

China is a major importer wa food kutoka nchi kama Brazil, Africa, n.k, akipigwa block fanya hesabu hapo ni madhara kiasi gani wachina Wataface.

Achilia mbali mgogoro wa vita wenyewe utakao kuwa ukiendelea ndani ya mainland China kwa watu wanaoipinga CCP na nje.
 
Well said mkuu, sasa na Wachina waanze kuwachochea na kuwapelekea silaha kisiwa cha Hawaii Merikani ilicho ki-annex kwa nguvu kutoka kwa Queen Lililokuani kwenye miaka ya late 1800s. Vile vile Wachochee na kuwapatia silaha raia wa jimbo la Texas ili wajiunge tena na Mexico, si Wamerika wana tabia ya kuvuruga mataifa yasielewane kwa manufaa yake - basi na yeye afanyiwe kweli hata kwenye visiwa vya Guam ,Diego Garcia na Okinawa.
Mengine unaongea ki ushabiki bila kufuata uhalisia...Chini ni Jirani sana na ndugu zao Taiwan, Taiwan ni sehemu ya nchi ya watu wa Taiwan na wanayo mamlaka kamili. Ukiwa na mamlaka kamili uwezi kuchaguliwa marafiki wa ku side nao.

Wao Taiwan wakichagua USA kama marafiki wao China inawatishia sasa kati rafiki USA na China nani analeta ugomvi?

China amewatafuta marafiki wake na kuunga BRICS wala Taiwan haijasema chochote kuwa China imefanya hivyo bila kuwasirikisha...ila kuongozi wa Taiwan kutembelea marafiki zake tu inakuwa kinyongo kwa China.

Nchi ikishakuwa na Wimbo, Bendera, Rais, Katiba yao...then inakuwa nchi huru wa kujichagulia mambo yake tofauti na hapo ki kuwaingilia. Taiwan yeye anamwomba tu USA asogeze manuari wake karibu ili wafanye mazoezi kama walivyokubaliana.

China ina wivu sana ila haiwezi kuishawishi nchi ijiunge nae make amekaa ki binafsi sana.
 
Huyo ni former President of Taiwan anasema wote ni wachina wewe wasema ana tumiwa na China bara, wewe ndie unapaswa kuaminiwa sio yeye ? Ok
Kuna lugha ya kigeni hapo labda ndio Google translator imemuambia hivyo
 
  • Thanks
Reactions: TPP
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.

Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in comments provided by his office.

Ma anatumai ujenzi wa amani utafanyiwa kazi na pande zote mbili,
"We sincerely hope that the two sides will work together to pursue peace, avoid war, and strive to revitalise China,"

Ma alisisitiza kuwa hili ni jukumu la wachina wote,
"This is an unavoidable responsibility of Chinese people on both sides of the Strait, and we must work hard."
View attachment 2581959View attachment 2581960
Suti nyeusi haimkatai mwanaume yeyote
 
Kama ya Pelosi asifanye ziara Taiwan, au rais wa Taiwan asionane na spika wa US na akithubutu amtumbue
Unafahamu kuhusu hivi vitu ROC,PRC,MSAR,HKSAR ?
 
Taiwan ni sehemu ya China toka 1945. Ulitaka apambanie nini zaidi ya kuhimiza amani baina yao kama ambavyo alivyo fanya
sehem gan nyingine ya China ina serikali yake , bungu lake na mahakama yake ? au ushawai ona jimbo/mkoa la hivyo popote pale duniani ?
 
Back
Top Bottom