Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

Rwanda size ya Mkoa wa Tabora wana RAIS na WAZIRI MKUU... Zanzibar size ya wilaya ya Kigamboni wana RAIS, Makamu wawili na Baraza la Mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, vikosi vya JKU, KMKM na Mambo chungu mbovu
 
Muungano ndo ulieleta Hilo Cha waziri mkuu ni mtu wa kuaangushiwa jumba bovu na Rais
 
😳🤣🤣
 
🙋‍♂️🤝
 
Vitu vingine jaribuni kuwa kimia , mnatia aibu kuu, wanaoga Tanzania ila mnatembeza bakuli la omba omba kwao
 
katiba yetu imejaa unyerere ifatilie, inawezekana alifikiria kuhusu gharama za uchaguzi ikitokea rais amefariki

Lakini ,je marekani na nchi nyingine zenye makamu ,RAIS akifariki makamu anasogezwa kukava nafasi?
 
Kenya ina Mkuu wa Mawaziri, Musalia Mudavadi ambaye kimsingi ni Waziri Mkuu.
Kwenye katiba ya Kenya hakuna cheo cha mkuu wa mawiziri au waziri mkuu, Mudavadi ni waziri tu kama mawaziri wengine.
 
Kwenye katiba ya Kenya hakuna cheo cha mkuu wa mawiziri au waziri mkuu, Mudavadi ni waziri tu kama mawaziri wengine.
Mudavadi ni Waziri wa Wizara gani?
 
Nchi nyingi ikiwemo Tanganyika Waziri Mkuu ni au alikuwa kiongozi wa nchi, ndiyo nafasi aliyoianzia Nyerere baada ya Uhuru. Tanzania tuna chifu ambaye ni rais, ambaye ni mkuu wa majeshi na ambaye ni mwenyekiti taifa CCM.
 
Aisee
 
Wakati tunapata Uhuru uingereza ina Waziri Mkuu mpaka sasa ni hivyo, na sisi tukawa na Waziri Mkuu akiwa kiongozi wa nchi.
 
Wazungu hawataki gharama za kijinga, hata misafara ni Tanzania pekee ndiyo imejaa misafara muda wote
 
Vipo vyeo inatakiwa kufutwa
1 Makamu wa rais
2 Mkuu wa wilaya, huyu majuku yake atafanya mkurugenzi w
3 naibu waziri huyu kazi zake atafanya katibu wa wizara
Makamu/Naibu PM/RC/DA/TARURA inatakiwa iwe idaara ndani ya TANROAD, RUWASA inatakiwa iwe idara ndani ya mamlaka za maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…