Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Hakuna familia iliyo perfect hapa duniani
 
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar
 
Kanda ya ziwa kuna wanaojiita ni wakristo lakini wanamitala kama yote,

Wakati agizo ndoa ni kuwa ya mke mmoja na mume mmoja,

Hivi huko mnafundishwa kwa kutumia Biblia gani ?

Je huwa mnajifikiria hatima yenu kuwa vipi?
Acha ujinga biblia iliwakuta na mila hiyo..sisi waafrika.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani ulikuwa unaruhusiwa kumlithi mke wa kaka au mdogo wako kama amefariki. Kwa sasa haiwezekani kutokana na magonjwa
Mimi ninaongelea kuoa dada na mdogo wake wote wakiwa bado hai
 
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Samia
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
 
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune
 
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…