Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Bila shaka mtakuwa na mataahira wengi ukiachia mbali kuchukuana ndugu kwa ndugu. Juzi nilisikia ndugu yenu Mluhya alimtia mimba mama mkwe wake.
 
Mkuu, wazee wa zamani walikuwa na hekima sana. Sema tu jamii za siku hizi hususan vijana ndio wamekengeuka na huu utandawazi.
Kusoma Mambo ya mzungu yanawafanya wanajiona kuwa wanajua kuliko mambabu waliotumia hekima na busara.
Kuna vitu wanaviangalia ambavyo hata usome huwezi ukavisoma kwenye makaratasi.
 
Shida yenu hamtahiriwi kulala na mjaluo nikama unalala na kitoto cheny kidudu inakera ni bora muoane wenyewe kwa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…