Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Somo zuri
 
Kila siku najiuliza nimungiaje mke wangu nimwambie nataka kuoa mke wa pili!!??
 
Hatutaki kuenzi wazee wetu lakini kiukweli kwenye maswala ya ndoa walidumu na heshima ilikiwepo kama kama mzee hana pesa ni kutokana na mfumo walio uweka , africa imebaki rangi nyeusi tu lakini mila ni zamzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…