Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Unakulaga omena?Bila shaka umepata jibu sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakulaga omena?Bila shaka umepata jibu sahihi.
Dada yangu kaolewa Gamasara ila ni msukuma. Unapajua?Ineno maber ahinya
Omena? duuuh kuna lugha ni za ajabu sana Tanzania hiiUnakulaga omena?
Omena ni Dagaa kwa kijaluoOmena? duuuh kuna lugha ni za ajabu sana Tanzania hii
Ukienda likizo Shirati kisha ukipikiwa "omena" au "ngege" upate na "apoth" plus "kuon mar marieba" plus "chak mopoto" ndio utajua nini raha ya kwenda likizo December Rorya.Omena ni Dagaa kwa kijaluo
😂Eti wajaluo huwa hakuna "kumenya muwa" ni kweli?
😂 😂 😂Wacha weeee
Cc Infantry Soldier
Kumbe hiyo ndio sababu, sa si bora mngefanya kama wamasai, inakatwa afu inabaki inaning'inia yani kama kimeegeshwa pembeni, siku ya kiama ukiulizwa unasema hiki hapa.
Khartoum! 🤣 🤣 🤣 🤣Halafu nadhani joto litakua linakaribia lile la mji wa Khartoum make si imefunikwa?! Sie eti eeeh....
SudanKhartoum! 🤣 🤣 🤣 🤣
Yeah, yaani joto la kufa mtu! 🤣 🤣 🤣 Mfano wa mkonga wa ndovu... 😂Sudan
Nimekaa sana Sudan Kusini. Nilikuwa ninafanya kazi UNHCRSudan
Mungu alikuwepo Afrika (Tanzania) hata kabla wazungu na waarabu hawajaleta ukristo na uislam.Kanda ya ziwa kuna wanaojiita ni wakristo lakini wanamitala kama yote,
Wakati agizo ndoa ni kuwa ya mke mmoja na mume mmoja,
Hivi huko mnafundishwa kwa kutumia Biblia gani ?
Je huwa mnafukiria hatima yenu kuwa vipi?
Omena kwa kiwetu ni papuchi ujue? Ndio nakulaga, nipe basi.Unakulaga omena?
Sisi wakurya pia tuna asili ya KenyaHawa watu nilikuwa najua wametokea kenya wazamiaji
Na nyie mpetapakaa kenya kama hawa luo ?Sisi wakurya pia tuna asili ya Kenya