Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Kanda ya ziwa kuna wanaojiita ni wakristo lakini wanamitala kama yote,

Wakati agizo ndoa ni kuwa ya mke mmoja na mume mmoja,

Hivi huko mnafundishwa kwa kutumia Biblia gani ?

Je huwa mnajifikiria hatima yenu kuwa vipi?
 
Kanda ya ziwa kuna wanaojiita ni wakristo lakini wanamitala kama yote,

Wakati agizo ndoa ni kuwa ya mke mmoja na mume mmoja,

Hivi huko mnafundishwa kwa kutumia Biblia gani ?

Je huwa mnafukiria hatima yenu kuwa vipi?
Mungu alikuwepo Afrika (Tanzania) hata kabla wazungu na waarabu hawajaleta ukristo na uislam.
 
Na ndugu huwa wanakuwa na misambwanda ya Kati kwa Kati nitofauti na kuchanganya koo zingine
 
Back
Top Bottom