Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

View attachment 2532863
Huyu dogo na Will Smith huwa wananishangaza sana

Mwonekano wao wa sasa ni kama mimi nilipokuwa na 30 yrs
Huyu mwamba bima yake ya afya itakuwa balaa .......kama Tu ya Yule baby mama wake marehemu ilikuwa takribani Dola 20,000/- na zaidi Kwa mwaka ya kwake yeye unafikiri itasoma ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…