Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Wewe ni muhenga bila shaka hii itakua miaka ya 94-99 hapo katikati. Kipindi hicho Dstv wanatoa ratiba ya vipindi vya kila chanel kwenye magazine maalumu.

Sasa mambo yamebadilika ni kiditali zaidi hakuna cha magazine wala nini, mambo mengi yako online.
Enzi tunatuma salamu kwenye magazeti.
 
Katika rika la 35-40, nani amewahi kutembea kwa mikono kama zamani?, au slow somersault kama zamani, zaidi tunaiharibu miili na back bone kwa vilevi vibali mfululizo mpaka cartilage zinasagika na mifupa kusagana.
Uliza tu kukimbia hata kilometa 2. Huko kwenye kutembea kwa mikono umeenda mbali sana
 
Back
Top Bottom