Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Hao wafananishe na kina Sugu[Mr two], Joe Kusaga, Prof J, Mbowe,Zitto na wengineo wenye pesa mazee ambao ni lika lao bongo hapa at least sura zao hazijazeeka kivile.
Mkuu, sasa Prof J na Zitto ni wazee? Atleast Sugu ndiyo yupo above 50. Kusaga na Mbowe ndiyo umri sahihi wa kulinganisha.
 
Mbona nyie wa huku Tanzania mnazeeka Sana?hebu mfikirie mtu unaemjua hapa Tanzania mwenye umri Kama hizo😓
Mi nina uncle wangu ana 58 yupo ripped fresh kama mtu wa 30's hivyo sio wote ila ni mtu wa gym sana na sio mlevi na ni vegetarian yupo vizuri kwa kweli na wadada kwa wamama wanamzimikia kwelikweli 😕

Ila ni mtu wa Mungu hivyo si wote🤔
 
Sasa hao wa kwenye picha ni carnivorous na wanakunywa Hennessy 😂😂😂
Hongera nyingi kwa mjomba
 
Back
Top Bottom