Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Bongo stress nyingi sana. lakini pia life style yetu na majukumu kwa tulio wengi ni ngumu kumantain predictable schedules za maisha ya kila siku.
 
Jidanganye hivyo hivyo na endekeza hayo ma bia na kiti moto, ingekua hivyo basi life span ya wa magharibi ingekua miaka 50 -60 kama huko. Magharibi life span yao ni 80 - 90 na hio sio rocket science ni ukweli mtupu, mie tu nikijaga huko bongo naona kizazi chetu kilivyoisha watu wamekwenda balaa - rip, uwa naonekana stranger katika mji wangu na nchi yangu.
Sasa wewe unafikiri obesity peke yake ndio inatuua afrika?...kuna mambo mengi yanayochangia life span huku kuwa ndogo... Ukweli huko mabonge ni wengi kuliko huku
 
Kawaida tuu..mzee wangu ni 72 sasa ila bado yuko fiti balaa. Ni mkandarasi na anashinda site kazi kazi kama kijana wa 35 yrs..
Ni kujitunza tu.

Moja ya kanuni zake toka alipoingia utu uzima huwa hali lunch.
Ni breakfast na dinner....jioni saa 12 ni chai imetoka hiyo..

Akikaaga na wadogo zake ie baba zetu wadogo jinsi walivyozeeka utasema yeye ndio mdogo sasa ..na imagine wadogo zake yeye maisha yak yote wamekua maafisa maisha mazuri mpaka sasa wakat mzee wangu ni muhangaikaji tu.

So kujijali na kuweka kipaumbele cha kuitunza afya yako ukijua fika ndio mtaji wako..
 
Mi nina uncle wangu ana 58 yupo ripped fresh kama mtu wa 30's hivyo sio wote ila ni mtu wa gym sana na sio mlevi na ni vegetarian yupo vizuri kwa kweli na wadada kwa wamama wanamzimikia kwelikweli [emoji53]

Ila ni mtu wa Mungu hivyo si wote[emoji848]
Mimi pia nina mzee wangu ni wa mwaka 1963, ukimuona ni sawa na raia mwenye miaka 45.

Anakwambia no pombe, no wanawake sana, mazoezi sana na kula vizuri.

Sio wote wanaozeeka hovyo.
 
Mimi pia nina mzee wangu ni wa mwaka 1963, ukimuona ni sawa na raia mwenye miaka 45.

Anakwambia no pombe, no wanawake sana, mazoezi sana na kula vizuri.

Sio wote wanaozeeka hovyo.
Wajomba zangu (ni wazee 65+) wote wapo ripped kinoma... Hawajui gym labda mazoezi ya kutembea, na jembe..
 
Mm nna 27 lkn ukiniangalia ni kama vile babu anayesumbuliwa na NSSF kupewa mafao yake
 
Vingi Sana vinafikirisha cjui Kama wabongo wengi tunaweza hata hii kitu
 

Attachments

  • old-photo-of-kendrick-lamar-and-his-girlfriend-whitney-alford-2.jpg
    old-photo-of-kendrick-lamar-and-his-girlfriend-whitney-alford-2.jpg
    56 KB · Views: 3
Back
Top Bottom