Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

Katika rika la 35-40, nani amewahi kutembea kwa mikono kama zamani?, au slow somersault kama zamani, zaidi tunaiharibu miili na back bone kwa vilevi vibali mfululizo mpaka cartilage zinasagika na mifupa kusagana.
Kuna siku nikajifanya bado janki nikajaribu kutembea kwa mikono🤣🤣 kilichonikuta ni siri yangu.
 
Hi
Kuna moja inaitwa passenger 57 yupo na mzee mzima Tommy lee Jones.
Hii ndo ya kwanza mi kumuona, kitambo..90 kweusi huko,niliinjoi Sana,ilikua movie ya kipekee
 
Huko magharibi ndio wanaongoza kwa obesity... Wenye miili kama hao mastaa ni asilimia ndogo sema ndio tunaonyeshwa sana kwenye videos zao
Jidanganye hivyo hivyo na endekeza hayo ma bia na kiti moto, ingekua hivyo basi life span ya wa magharibi ingekua miaka 50 -60 kama huko. Magharibi life span yao ni 80 - 90 na hio sio rocket science ni ukweli mtupu, mie tu nikijaga huko bongo naona kizazi chetu kilivyoisha watu wamekwenda balaa - rip, uwa naonekana stranger katika mji wangu na nchi yangu.
 
Back
Top Bottom