Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #21
Tatizo kwa wabongo maisha ya kucheka na kujiachia huishia kwenye 40, baada ya hapo ni malezi, na kukunja uso all the days. Pasua kichwa kila upandeweka na picha za wabongo wenye rika hilo uone mavitambi na makunyanzi yanavyotutesa
Kukosa muda wa kucheka na kufurahi na kuridhika kwa malengo jiwekea kukamilika, Kukosa amani ndani ya mioyo, aidha kuitafuta amani ya moyo kwa nguvu kwa kujinywesha bia huku ukiwa na mawazo, call it total problems!View attachment 2532863
Huyu dogo na Will Smith huwa wananishangaza sana
Mwonekano wao wa sasa ni kama mimi nilipokuwa na 30 yrs