Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

Kwema wakuu?

Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.

Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.

Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.

Mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.

Tubadilike jamani.
Usiusemee moyo.. WEWE NDO MCHOYO HAPO MTAANI KWENU.. SISI WENZIO HUKU KWETU SIKUKUU TUNAWAALIKA WATU WASIO WA DINI AU DHEHEBU LETU. Umesema mwenyewe hapo mtaani kwenu mnaalikwa na mnakula hadi mnasaza, lakini hujasema kama wewe umewahi alika wenzio
 
Mwaka huu hatutawaalika kwakuwa wamefunga.

Ila ukisoma Biblia - Kutoka 12:1- 14' utaona kuna maelekezo ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka. Tumeagizwa kuchinja Mbuzi au Kondoo na kuna maelekezo ya namna ya kumbanika kama 'Ndafu' kisha tualike watu waje kula hadi msosi uishe kwa siku moja.
 
Sasa kuna kitimoto home utaalikaje jirani muislam? Bora kuepusha shari na kufurahia mnyama, misosi na vinywaji kwa raha zetu.
Zaidi ya hapo ujirani mwema upo!
 
Changamoto ni kwamba huwa hawana imani na chakula cha waKristo.Mara huyo kuku alichinjwa na nani?Hivyo vyombo mara ya mwisho kusafishia pua na masikio ya "ng'ombe" ilikuwa lini?Mara sikukuu yenu haijulikani halafu weye ni kafiri!Unapeleka msosi ili usimangwe halafu kimwagwe?Bora kuwa "lichoyo" tu.😂😂😂😂
😄😃😀😆😁😅🤣🤣🤣😂😆😁Mwamba Ulikuwa Wapi
Nyama Ya Mudi Ndiyo Hofu
 
𝐓𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐨𝐲𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐦𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐦𝐭𝐚𝐤𝐮𝐥𝐚𝐣𝐞 𝐜𝐡𝐚𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢,
𝐯𝐢𝐩 𝐦𝐭𝐚𝐤𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐢𝐜𝐡𝐨𝐩𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐬𝐮𝐟𝐮𝐫𝐢𝐚 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨𝐩𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐦𝐮,
𝐀𝐂𝐇𝐄𝐍𝐈 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐀𝐓𝐈𝐋𝐈𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐄𝐓𝐔 𝐔𝐂𝐇𝐎𝐘𝐎 𝐌𝐌𝐄𝐓𝐔𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄𝐖𝐄
 
Kwema wakuu?

Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.

Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.

Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.

Mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.

Tubadilike jamani.
Tatizo hao unaotufananisha nao ni wabinafsi nanataka wachinje wenyewe ndio wale....kila mtu ale kwake tusisumbuane.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ile style ya kujipitisha pitisha kwa majirani ikifika mida ya saa 6,7 hebu jaribu hiyo huenda ikasaidia kuna jamaa yangu mgogo hapa huwa anaitumia karibu kila mwaka..anafanikiwa
Noma sana
 
Kwema wakuu?

Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.

Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.

Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.

Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.

Tubadilike jamani.
Aisee
 
Hawanaga imani na chakula chako! Kuanzia kwenye kuchinja hadi vyombo unavyotumia, so kutowakwazo ndio maana unaona hivyo!! Ila wenyewe wapo na Amani iweje wewe uteseke?
 
Back
Top Bottom