Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,383
- 9,337
Mwoaji kama hajawahi kula cha mtu tangu wamechumbiana (msafi kabsaaa) na asiendelee na ndoa
Hamnaga jimbo lililoko wazi, huwa ni likizo watu hupeana baada ya kuchokana/umbali/ etc mwendo mdundo utakuja nyumbani kukiwa hamana maelewano na pia mtumiaji wa sasa akiendelea toa support (fedha ama ya mawazo ya namna ya kusurvive mjini) kwa mkeo
Changamoto pia kumfahamu aliyekuwa kimahusiano na mwenza - inaumaga ujuapo wanaendeleza