Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Hapo kwakweli hawana namna, wasubiri tu muoaji aamue atakavyoamua wakubaliane nae tu hawana jinsiespecially mama yake mzazi analia kitwa nyumban kwa mama mzaz wa bwana harusi mwanawe asamehewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwakweli hawana namna, wasubiri tu muoaji aamue atakavyoamua wakubaliane nae tu hawana jinsiespecially mama yake mzazi analia kitwa nyumban kwa mama mzaz wa bwana harusi mwanawe asamehewe
Hapo kama ana wadogo zake wa kike nao watu wataogopa kupeleka barua, maana watu wanavyojua kusambaziana taarifa mbayaAmeharibu mbaya kabisa. Yes ni tukio linalochafua hadi familia yake.
-Kaveli-
ndio hivyo mama naye anataka harusi iwepo kisa watu wameshatoa michango halaf ilikua harusi flani ya sifa yan mama wa bwana harusi alikua anasema sjaozesha safar hii nataka kuozesha nataka kufanya mambo mtaani niweke historia kumbe ibilisi alikua ananyemeleaHapo kwakweli hawana namna, wasubiri tu muoaji aamue atakavyoamua wakubaliane nae tu hawana jinsi
Ila kweli, lakini inaogopeshaMama yupo sahihi ;katika ndoa yapo nakubwa zaidi ya hayo
kwamba waoane hivohivo?? wewe kuweza?Mama yupo sahihi ;katika ndoa yapo nakubwa zaidi ya hayo
yapo tena hawa watu wote bibi harus bwaa harusi tunajuana inawezekan wakawa wapo hum wote na wakausoma huu uziHivi hayo mambo yapo kweli au ni story tu zakusogeza siku?
uuwiiii😥😥.. Na ikitokea hiyo ndoa imefungwa huyo bi harusi ajiandae na manyanyaso Kutoka kwa mama mkwe..Akikosana nae tu kidogo, msemo wake utakua unadhani bila mimi ungeolewa na mwanangu??😃ndio hivyo mama naye anataka harusi iwepo kisa watu wameshatoa michango halaf ilikua harusi flani ya sifa yan mama wa bwana harusi alikua anasema sjaozesha safar hii nataka kuozesha nataka kufanya mambo mtaani niweke historia kumbe ibilisi alikua ananyemelea
mawifi usituache nyuma, yan itakua tunaifanya harusi huku tukijua bibi harusi ameliwa na shemejie kaka yetu naye akaoa hivohivo lazima iundwe kamati ya roho mbaya na mweyekiti apatikane haraka iwezekanavyouuwiiii😥😥.. Na ikitokea hiyo ndoa imefungwa huyo bi harusi ajiandae na manyanyaso Kutoka kwa mama mkwe..Akikosana nae tu kidogo, msemo wake utakua unadhani bila mimi ungeolewa na mwanangu??😃
😂😂uuwiiii😥😥.. Na ikitokea hiyo ndoa imefungwa huyo bi harusi ajiandae na manyanyaso Kutoka kwa mama mkwe..Akikosana nae tu kidogo, msemo wake utakua unadhani bila mimi ungeolewa na mwanangu??😃
sina hakika mana yake hatuyajuiMama naye ni mtelezeshaji tuu. Ndicho anachojaribu kukisema
sina hakika mana yake hatuyajui
Yaani sijui bora aache tu akubali kuanza upya maisha yake🤣🤣🤣mawifi usituache nyuma, yan itakua tunaifanya harusi huku tukijua bibi harusi ameliwa na shemejie kaka yetu naye akaoa hivohivo lazima iundwe kamati ya roho mbaya na mweyekiti apatikane haraka iwezekanavyo
Yaani🤣🤣🤣.. nimejikuta namuona huruma binti wa watu
kazi anayo yan siipatii picha hili swala litakavyoishia mana kotekote litakavyoishia halina heri ila ubaya utakuja akioa ajiandae na shari za ukoo, yan zikitokea shughuli ukweni hana wa kumkingia kifua halaf kuna wale wa kutaniana mbona ipo kaziYaani sijui bora aache tu akubali kuanza upya maisha yake🤣🤣🤣
Kama hawajazaa bora tu harusi ihairishwe kipenzi, maana vita ya huko mbeleni naipima siipatii ujazo🤔🤔kazi anayo yan siipatii picha hili swala litakavyoishia mana kotekote litakavyoishia halina heri ila ubaya utakuja akioa ajiandae na shari za ukoo, yan zikitokea shughuli ukweni hana wa kumkingia kifua halaf kuna wale wa kutaniana mbona ipo kazi
hawajabahatika mtoto kabisaa huko mbele wakiona bibi harus ajiandae kwa mtanange mkali kati yake na ndugu za mume sasa hivi kila mtu anajiona yeye msafi japo siungi alichofanya kuwa sawa ila watakavyomchukulia utasema wengine hawadangiKama hawajazaa bora tu harusi ihairishwe kipenzi, maana vita ya huko mbeleni naipima siipatii ujazo🤔🤔
Kwakweli, kama ana ujasiri bora aache tuhawajabahatika mtoto kabisaa huko mbele wakiona bibi harus ajiandae kwa mtanange mkali kati yake na ndugu za mume sasa hivi kila mtu anajiona yeye msafi japo siungi alichofanya kuwa sawa ila watakavyomchukulia utasema wengine hawadangi