Uchaguzi 2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia ukiwa na akili nyingi utakua huru na siku zote mtu mwenye akili anachukiwa sana sababu lazima atakua ni mtu wa kuhoji kitu ambacho wengi hawapendi haswa Africa! Safi sana Lissu umeonesha njia uhai wako ndio muhimu kama walijaribu awamu ya kwanza hawakuweza basi hawajakoma! Nil satis nisi optimum [emoji111]
 
Yaani wewe unamwona Lissu ana akili nyingi?
 
Nafikiri wewe utimamu wako ni wamashaka! Sijawahi kukusikia unasema au unaandika kitu kikafanikiwa!
Kufanikiwa kwa mambo ninayoyaandika kuko wazi sana na ndio maana wote ukiwemo wewe mnachangia
 
Tuna kuchora tu! Ulisema Mh. Tulia hatamshinda Bwana yako Sugu lakini akaangukia pua. Leo Mh. Tulia ni Naibu Spika tena. Just to mention few examples.
 
Kwani wewe kwa akili yako unadhani Tulia ameshinda kihalali ? utakuwa na akili nyembamba mno
 
Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho , na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa , Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno , huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia .

Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo , amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana , kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa .

Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi , natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka kwenye nchi hii , SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno .

Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
WeWe umekuwa kisemeo cha WATANZANIA wanyonge waliofanywa Mabubu ktk nchi Yao.Hakika mchango wako ni MKUBWA.Mungu alikuweka hai kwa ajili y etu .Mwanademokrasia nguli mtetezi wa kweli wa wanyonge.Tanzania need you TAL.
 
Dah kweli wakati ukuta. Majigambo yote yale yale safari hii lazima kieleweke, tutaingia barabarani, dunia yote ipo nasisi, mara pompeo, mara kuwadi wa mashoga amstadam, leo hii mnaishia kushukuru bora liende!!!. Nimesikitika sana
Ndugu yangu, jiulize kwanini Mwl Nyerere alimuita Idd Amin ni mwendawazimu!

Kiongozi akifikia hatua ya kutaka kudhuru kila anayempinga, ni wa kumwendea kwa tahdhari kubwa...kwakuwa amekuwa kichaa anaweza kuua watu wengi bure kwa kichaa chake cha kuogopa maandamano!

Kubadilisha mbinu za kapambana na wazimu wake sio kumuogopa!
 
Huyu mchizi sio mlinzi wa kawaida kama wale baunsa uchwara, nimeona alikua akizunguka freely ndani ya ubalozi
PicsArt_11-10-07.59.58.jpeg
Screenshot_20201110-200337.jpeg
 
Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho , na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa , Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno , huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia .

Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo , amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana , kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa .

Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi , natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka kwenye nchi hii , SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno .

Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Kawakimbia watanzania kudadeki...hana hamna nao, wasukuma walimpa kura 2% hukonusukani, kaona isiwe tabu!
 
Back
Top Bottom