Uchaguzi 2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia ukiwa na akili nyingi utakua huru na siku zote mtu mwenye akili anachukiwa sana sababu lazima atakua ni mtu wa kuhoji kitu ambacho wengi hawapendi haswa Africa! Safi sana Lissu umeonesha njia uhai wako ndio muhimu kama walijaribu awamu ya kwanza hawakuweza basi hawajakoma! Nil satis nisi optimum [emoji111]
 
Yaani wewe unamwona Lissu ana akili nyingi?
 
Nafikiri wewe utimamu wako ni wamashaka! Sijawahi kukusikia unasema au unaandika kitu kikafanikiwa!
Kufanikiwa kwa mambo ninayoyaandika kuko wazi sana na ndio maana wote ukiwemo wewe mnachangia
 
Kufanikiwa kwa mambo ninayoyaandika kuko wazi sana na ndio maana wote ukiwemo wewe mnachangia
Tuna kuchora tu! Ulisema Mh. Tulia hatamshinda Bwana yako Sugu lakini akaangukia pua. Leo Mh. Tulia ni Naibu Spika tena. Just to mention few examples.
 
Tuna kuchora tu! Ulisema Mh. Tulia hatamshinda Bwana yako Sugu lakini akaangukia pua. Leo Mh. Tulia ni Naibu Spika tena. Just to mention few examples.
Kwani wewe kwa akili yako unadhani Tulia ameshinda kihalali ? utakuwa na akili nyembamba mno
 
WeWe umekuwa kisemeo cha WATANZANIA wanyonge waliofanywa Mabubu ktk nchi Yao.Hakika mchango wako ni MKUBWA.Mungu alikuweka hai kwa ajili y etu .Mwanademokrasia nguli mtetezi wa kweli wa wanyonge.Tanzania need you TAL.
 
Dah kweli wakati ukuta. Majigambo yote yale yale safari hii lazima kieleweke, tutaingia barabarani, dunia yote ipo nasisi, mara pompeo, mara kuwadi wa mashoga amstadam, leo hii mnaishia kushukuru bora liende!!!. Nimesikitika sana
Ndugu yangu, jiulize kwanini Mwl Nyerere alimuita Idd Amin ni mwendawazimu!

Kiongozi akifikia hatua ya kutaka kudhuru kila anayempinga, ni wa kumwendea kwa tahdhari kubwa...kwakuwa amekuwa kichaa anaweza kuua watu wengi bure kwa kichaa chake cha kuogopa maandamano!

Kubadilisha mbinu za kapambana na wazimu wake sio kumuogopa!
 
Kawakimbia watanzania kudadeki...hana hamna nao, wasukuma walimpa kura 2% hukonusukani, kaona isiwe tabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…