Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Sema na wewe umezidi kujikomba sana kwa watawala kisa unalipwa vijichenji. Mtumishi wa kitanzania si wa kujigamba maana ni hohehahe tu.
Mimi sijikombi wala sihitaji uteuzi na Wala siko kwenye vyama.

Wewe una matatizo ya akili,sisi tunamshukuru Rais Kwa namna alivyojitahidi kutujali sio swala la kujigamba..

Kwenye Hali hiyo hiyo ya kuwa hohehahe ila Samia walau katukuna sasa shida yako wewe ni nini?
 
Mliokuwa hamtarajii kuwa na fursa serikalini kwa upepo tu mkaipata basi mnapraise kila kitu.
Ewaaaa maana hata kupata ajira tulikata tamaa ila Samia karejesha tabasamu usoni sio tuu kwetu bali na Kwa wazazi waliotusomesha..umeelewa sasa?

Sisi ambao unatuita hohehahe tuna nafuu kubwa Sana kimaisha kuliko maelfu ya watu huko mtaani ndio maana mnatuchukia ukiwemo wewe.
 

Nyie mtakaposimama naye, sisi tutashuka naye jumla jumla!
 
😁 huna tofauti na kitoto kinachodanganywa na pipi. Gharama za maisha zinapanda, wewe kakukunaje kimaisha?
 
Kila kitu KITAPANDA BEI.

Hiyo ndio beyond control?

Muache Rais asiendelee kutukanwa.
 
LABDA WEWE NA FAMILIA YAKO USIPENDE KUWASEMEA WASIO KUTUMA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Unaowatusi wengine wanakuzidi ufaulu, ninyi mlokuwa mnahangaika kutafta ufaulu mzuri ndo baadae mnakuwa waropokaji sana. Unamaanisha wewe ufaulu wako unawazidi walimu wote?
Wewe ni wale wale division 5. Umeona hapo nimeongelea kuwazidi ufaulu waalimu wote? Ama kuna mahala umeona nimetaja waalimu wote?
 
Ewaaaa maana hata kupata ajira tulikata tamaa ila Samia karejesha tabasamu usoni sio tuu kwetu bali na Kwa wazazi waliotusomesha..umeelewa sasa?
Kama nchi ingekuwa na wananchi kama wewe tu, ingekuwa rahisi sana kuiongoza. Wewe hata kazini kwako unaonekana ni snitch sana kila jambo ubalifikisha kwa mkuu wako wa kazi.
 
Kama nchi ingekuwa na wananchi kama wewe tu, ingekuwa rahisi sana kuiongoza. Wewe hata kazini kwako unaonekana ni snitch sana kila jambo ubalifikisha kwa mkuu wako wa kazi.
Ndio inavyotakiwa Ili kukomesha upigaji na uzembe..

Hata akina Makonda,Sabaya etc walikuwa ma snitch ndio maana Mwendazake aliwaamini..

Usipokuwa na watu snitch huwezi kudunu wala kuongoza sio tuu serikali bali hata familia yako itakushinda.
 
Wewe ni wale wale division 5. Umeona hapo nimeongelea kuwazidi ufaulu waalimu wote? Ama kuna mahala umeona nimetaja waalimu wote?
Tuliza mshono, kuwaita watumishi wa umma matahira ni kosa kubwa sana. Sijawahi kuona mtumishi mwenye division zero serikalini.
 
Ndio inavyotakiwa Ili kukomesha upigaji na uzembe..

Hata akina Makonda,Sabaya etc walikuwa ma snitch ndio maana Mwendazake aliwaamini..

Usipokuwa na watu snitch huwezi kudunu wala kuongoza sio tuu serikali bali hata familia yako itakushinda.
Sifa ya mwanamme ni kukaa na jambo liwe limemfurahisha au limemuumiza, sa mwanaume kama kazi yako ni kumsujudu mama kila kitu ujue hapo kuna shida mahala. Mwanaume hata ukikosea kwenye familia yako usiwe wa kuomba omba msamaha. Kaza, kama mama anakukuna, kaza siyo kupraise tu. Usiwe km mpambe na usifurahie vijiofa.
 
Nisifurahie ulezi wa mama nifurahie nini sasa? 😁😁😁😁..

Narudia tena ukiona serikali au kampuni inasonga mbele ujue kuna wapambe na snitch bila hivyo Nchi haiendi,lazima wezi kama nyie muumbuliwe.
 
Mmmh.. Nenda hapo kenya ukanunue Mafuta/Cement/Bati kwa bei nafuu.

Nimegundua naongea na mtu mwenye exposure ya Namtumbo ndanindani.
Huu utopolo huwa mnalishwa na nani? Kichwa chako kina Kazi kubwa Sana ya kubeba ujinga na kuutweza mwili..

Hivyo vyote ukivyovitaja bei ziko juu na ni mwezi uliopita mawaziri walileta ulinganifu wa Nchi yetu na Nchi jirani..

Na ukweli uko hiviπŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…