Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Sisi au wewe panyaroad.
 
Sema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Hahahaha ujinga ulivomkaa anafikiri kuongezwa mshahara ni bora zaidi anasahau gharama zimepanda akumbuke wimbo profesa j alieuza cheni bandia kapewa hela mbandia kalagabao mtumishi uliojaa matope badala ya ubongo
 
Wewe ni mtumishi?
 
Wajinga wengi wako huko ndo maana
 
Watumishi wote selikali jumla yenu ji laki 6na point hapo na kijeshi ndani
 
Kwa nini ukimuongelea Raisi wa sasa ni lazima uunganishe story yako na hayati JPM?
 
NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Watu wote hawawezi kuna ma Rais.
 
Kwa hizi Comment Asilimia ni ndogo sana hawajakubali kinachofanyika hivi sasa.
 
NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Wewe ndiyo product halisi ya waalimu failure na uvCCM.Hebu soma tena ulichoandika,hapo umempigia promo Mama au umemharibia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…