Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Ndugu unaefurahia kifo cha binadamu mwenzako, nikuulize tu. Je wewe utaishi milele?Comment yangu kuhusu LEMUTUZ kupasuka tumbo na kuoza IMEFUTWA.
Lemutuz anaoza muda huu chini ya kifusi cha tani mia saba [emoji851][emoji1787][emoji1787]
Jeuri yote kwishneiii, alizidi uropokaji sana yule LE MTUMBOZ.
Kifo chake kimenikosha sana. [emoji851]
Nitakufa ila sio leo wala kesho.Ndugu unaefurahia kifo cha binadamu mwenzako, nikuulize tu. Je wewe utaishi milele?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mods wameiondoa kukulinda na Wajane wake wa humu wangekushukia kwa migazeti na mapovu ya Omo tangu aliyekua anawapost ili kuwaunganisha kwa madanga afe soko lao limedoda basi wana hasira haoooooo,
Mie pia ni mmoja wa waliofurahi sitaki kua mnafki kwa kweli, [emoji3][emoji3][emoji23]
THUBUTUU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kawatetee watuhumiwaa huko, si ndo ulikua kidedea kuwa wamefanya kazi nzuri??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawatolee hata dhamanaa jaman, uwiiiiih
Uovu ni uovu hakuna mwenye afadhali hata mmoja wauji, mashoga na wasagaj wote hawatakiw kwenye jamiiKuua utafananisha na ushoga na usagaji, shoga akiwa anakata viuno na mpenzi wake ndani kwake wewe wadhurika na nini?
Mtaani kwako kukiwa na muuaji anaua watu kila apatapo nafasi utakua na amani?
Unajua maana ya Uovu lakini?Uovu ni uovu hakuna mwenye afadhali hata mmoja wauji, mashoga na wasagaj wote hawatakiw kwenye jamii
Hilo swali ungemuuliza marehemu wako wakati anafurahia kifo cha Milembe yeye alidhani angeishi milele? Mungu alivyomkali akamfuata baada ya wiki 2 tuNdugu unaefurahia kifo cha binadamu mwenzako, nikuulize tu. Je wewe utaishi milele?
Kuua sio kazi rahisi, damu ya mtu ina fujo sana inapo shuka chini ya ardhi.. Labda kwa mtu mwenye nafsi kubwa sana ndio huwa haiwasumbui ndio hata wauaji wanaotumika na vitengo maalumu..Sijui watu akili zao zikoje, unafanya mauaji halafu unataka uendelee kuishi kawaida. Mwishowe hofu na aibu ya kukamatwa ikampelekea kujiua.
Kati ya hao,mkewe ni huyo Day faith au Ceslia?Mali. Mke wake Ni Kama kacheza dili wamuie ili abebe Mali. Ndio maana naye ni mtuhumiwa wa mauaji.
Dada unaedandia comment zisizokuhusu. Naomba nikupuuze tafadhali. I have no time to deal with toxic people.Hilo swali ungemuuliza marehemu wako wakati anafurahia kifo cha Milembe yeye alidhani angeishi milele? Mungu alivyomkali akamfuata baada ya wiki 2 tu
dayfaith maungaKati ya hao,mkewe ni huyo Day faith au Ceslia?
Akamsaliti aliyekuwa anamuweka mjini.Huyu binti kweli boya.Hajui kula na kipofu.Hakukuwa na haja ya kumuua.Angeendelea kula raha na kujengewa majumba na kuendesha gari yoyote anayotaka.dayfaith maunga
Ukicomment kwenye uzi utajibiwa na yoyote unless umfate mkusudiwa wako chemba,Dada unaedandia comment za watu. Naomba nikupuuze tafadhali. I have no time to deal with toxic people.
kwasababu vile visimi si vifupi kwahiyo kitendo cha kusuguana ndo neno kusagana likazaliwa [emoji41][emoji85][emoji85][emoji85]Hivi kwanini wanaita "kusagwa"
Au kusagana
google tu utakutana na ile hukumu mwanzo mwisho na gazeti la mwananchi liliandia ile hukumu.
shoga au msagaji wakiwa ndani kwao wanafanya mapenzi yao wewe unadhurika na nini? Au sauti zao zinakulowesha? [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
ANALOWAAH.....ANALOWAAH.... ooooh ANALOWAAH KINYEO....ANALOWAAH, yeaaahh.... oooh [emoji2957]
Mali. Mke wake Ni Kama kacheza dili wamuie ili abebe Mali. Ndio maana naye ni mtuhumiwa wa mauaji.
Ya kibaha nahis ilikua ishu ya wachache na wengi tulidhan itakua easy tu ku crackOngezea yule dada wa benki aliuwawa
Kibaha mpaka sasa jiiii
Ova