Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Mkewe ni yupi hapo?aliejiua ni yupi?link ya hiyo story ya kujiua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkewe ni yupi hapo?aliejiua ni yupi?link ya hiyo story ya kujiua?
Kuna ulazima wa kupelekwa kwenye mahakama isiyo na uwezo kusikiliza kesi yao?
Si ni kupoteza muda? Ni halali kumsomea mtu mashtaka bila kumpa nafasi ya kujibu, hata kukana tu?
Walijua wamefanya siri,na hali imetulia,wasagaji wanazidi kuwepo,mashoga wanaendelea kuwepo,kama enzi za Sodoma na Gomorah.Mkuu kama ulifuatilia vizuri mmoja wao alijiua kabla ya kukamatwa.
Majinga sana hayo majitu.
Alafu wewe!!!!!! Umenishinda tabia.Hapana ana kipochi manyonyaa tuuu
Nyingi huwa zinavuma mwanzoni,ila mwishoni huwa hazijulikani zinaishia wapi,kumbuka kesi ya ulawiti ya yule padri wa Moshi.Kesi ya mume kumchoma mke na gunia la mkaa.
Kesi ya dada yake Msuya ile ya kigamboni.
Kesi hii ya Milembe.
Natamani nizisome step by step lkn kwa Tz mmmhh.
Wauaji wote wapo rumande wanaota funza mkuu.Kesi ya mume kumchoma mke na gunia la mkaa.
Kesi ya dada yake Msuya ile ya kigamboni.
Kesi hii ya Milembe.
Natamani nizisome step by step lkn kwa Tz mmmhh.
Si amuulize RPC wa Dodoma!Mbona hajakosea. Kauliza Kama waliyemuua huyo dada usiku wamekamatwa mbona waliompiga risasi Lissu mchana kweupe hawajakamatwa.
Mbona walishadakwa kitambo sanaBado yule dogo wa bank aliyechomwa moto kibaha naona watu hawajadakwa hawa wazembe wamedakwa fasta
Yaani Tanzania wapelekezi wakiamua ni Wazuri mno. Asante Sana kwa update nzuri. Yule Mzee wa kanisa alikuwa ndiyo jambazi la ma godown makubwa. Akawa tajiri Sana. Akajenga maghorofa na maduka ya jumla ambayo mengine yalisheheni bidhaa za wizi magodown. Siku Moja nikapita kwenye ghorofa lake liko prime area nikakuta duka lake la jumla halipo na jengo lenyewe limebadikishwa kuna mpaka chuo. Nikaambiwa liliuzwa akiwa huko huko gerezani. Nafikiri waklliamua kuziuza Mali ili kupambana na kesi pia kuhakikisha pesa inalindwa in liquid form. Huko kanisani kwake ndiyo alikuwa mtoa sadaka na michango Ile ya kufa mtu yaani anasoma masomo ibadani kabisa. Alipokamatwa kwenye hiyo kesi ilikuwa mshtuko mkubwa mno Hadi alipohukumiwa kunyongwa. Hapa tunajifunza kuwa siyo kila mtu anayeonekana mwema machoni mwa watu ni mwema. Tuchukue tahadhari kila siku katika maisha yetuIliisha watuhumiwa nane akiwemo huyo mzee wa Kanisa walihukumiwa kunyongwa Hadi kufa. Nadhani wamekata rufaa. Ukifuatilia hiyo kesi utagundua Tanzania bado ina wapelelezi waliobobea, maana kila mtuhumiwa alikuwa na sehemu yake kwenye mauaji.

Wauaji, wasagaji na mashoga wote ni chukizo kwa Mungu na jamii kwa ujumla, tutakua wanafki tukiwapinga wauaji alafu tukija kwa wasagaji na mashoga tuseme kila mtu afuate yakeUkitubu zako inatosha acha kiherehere kwenye maisha ya wengine.
Ni nani kwenye Kesi ile alikuwa Mzee wa Kanisa??Yaani Tanzania wapelekezi wakiamua ni Wazuri mno. Asante Sana kwa update nzuri. Yule Mzee wa kanisa alikuwa ndiyo jambazi la ma godown makubwa. Akawa tajiri Sana. Akajenga maghorofa na maduka ya jumla ambayo mengine yalisheheni bidhaa za wizi magodown. Siku Moja nikapita kwenye ghorofa lake liko prime area nikakuta duka lake la jumla halipo na jengo lenyewe limebadikishwa kuna mpaka chuo. Nikaambiwa liliuzwa akiwa huko huko gerezani. Nafikiri waklliamua kuziuza Mali ili kupambana na kesi pia kuhakikisha pesa inalindwa in liquid form. Huko kanisani kwake ndiyo alikuwa mtoa sadaka na michango Ile ya kufa mtu yaani anasoma masomo ibadani kabisa. Alipokamatwa kwenye hiyo kesi ilikuwa mshtuko mkubwa mno Hadi alipohukumiwa kunyongwa. Hapa tunajifunza kuwa siyo kila mtu anayeonekana mwema machoni mwa watu ni mwema. Tuchukue tahadhari kila siku katika maisha yetu
Wauaji, wasagaji na mashoga wote ni chukizo kwa Mungu na jamii kwa ujumla, tutakua wanafki tukiwapinga wauaji alafu tukija kwa wasagaji na mashoga tuseme kila mtu afuate yake
Haram ni haramu tu
Comment yangu kuhusu LEMUTUZ kupasuka tumbo na kuoza IMEFUTWA.Wewe una utakatifu upi? nani anakuhukumu?
Haram ni kwa Mtu na Mungu wake wewe huna mamlaka ya kupekuchua yasiyokuhusu wakati huwezi kuumba hata sisimizi.
Ewaaa!!!!!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nimekumbukaKuna form zinauliza
1.male
2.female
3.others[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nadhani hapa kwenye others ndio pakujitambulisha Wewe ni nani
Linki mkuuMbona walishadakwa kitambo sana