econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hivi Ile kesi iliishia wapi? Hata sikufuatilia wahusika wa mauaji. Zaidi nilisikia kwenye kundi la wauaji kulikuwa na Mzee wa kanisa Moja la Lutherani. Nilistaajabu Sana.
Iliisha watuhumiwa nane akiwemo huyo mzee wa Kanisa walihukumiwa kunyongwa Hadi kufa. Nadhani wamekata rufaa. Ukifuatilia hiyo kesi utagundua Tanzania bado ina wapelelezi waliobobea, maana kila mtuhumiwa alikuwa na sehemu yake kwenye mauaji.