Sita wasomewa mashtaka ya mauaji ya Milembe Seleman aliyekuwa Afisa wa GGM, akiwemo aliyekuwa "mkewe"

Sita wasomewa mashtaka ya mauaji ya Milembe Seleman aliyekuwa Afisa wa GGM, akiwemo aliyekuwa "mkewe"

Hivi Ile kesi iliishia wapi? Hata sikufuatilia wahusika wa mauaji. Zaidi nilisikia kwenye kundi la wauaji kulikuwa na Mzee wa kanisa Moja la Lutherani. Nilistaajabu Sana.

Iliisha watuhumiwa nane akiwemo huyo mzee wa Kanisa walihukumiwa kunyongwa Hadi kufa. Nadhani wamekata rufaa. Ukifuatilia hiyo kesi utagundua Tanzania bado ina wapelelezi waliobobea, maana kila mtuhumiwa alikuwa na sehemu yake kwenye mauaji.
 
Haku uawa kwa sababu ya usagaji wake kwasababu hata huyo shetani aliye kuwa afanya naye huo upumbavu naye amekamatwa na kuunganishwa kwenye miongoni mwa wahusika wa mauaji kwa hiyo hapo ishu wenda ni kuhusu mali.

Unacho takiwa kujua ni kuwa kufanya usagaji au ushoga ni laana unatakiwa kuacha na utubu kwa muumba wako, mwenyezi mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.

Narudia tena Mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.

Narudia tena Mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.
Na wapi nimesema aliuliwa kwa ajili ya usagaji wake, sio nyie wenye midomo mirefu kama chuchunge ndio mlikua mnakazia kuhusu usagaji wake?

Na kama mnajua habari za Mungu si mumuache mtu mwenyewe adili na Mungu wake aliyemuumba hua mnakerekwa na nini hadi kutoa mapovu na matusi na kuhamasisha mauaji na ukatili,

Kila Mtu abebe msalaba wake nigger.
 
Waje na humu jf kuna walioshangilia kweli ukute ni ndugu wa hiyo familia hapo juu wakidhani mkono wa serikali ni mfupi,

Natamani Lemutuz angekua hai aone hao wauaji aliokua anawashangilia kwa kumuua msagaji wanavyopigwa mvua ya maisha,

Na hii iwe fundisho kwa wajinga wote hakuna aliye juu ya sheria, ukikoswa na sheria ya Dunia basi Mungu mwenyewe atakuadhibu kwa kujipa majukumu yasiyokua yako (ref, kwa Lemutuz hakuchukua hata mwezi)

Hongera jeshi letu la polisi, hongera serikali ya Mama Samia, naona hata humu nyuzi za Ushoga zimeisha kabisa watu wameufyata kama Mbwa kaona Chatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja na hayo, usagaji ni laana. Mungu hadhihakiwi na wala sio mjinga kuumba wanawake na wanaume. Tubu dhambi ya usagaji, mrejee Mola naye atakusamehe.
 
"He passed away"[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]mabebari bwana Wana mambo!
Hahaha...wao wakiona hawakuelewi wanakuuliza km ni jinsia Gani ,me or ke!!
Wanaamini zaidi kwenye uhuru WA kibinadamu
 
Sasa kama Mahakama haina uwezo wa kusikiliza kesi, kwanini wamepelekwa kwenye hiyo mahakama?

Hawaoni huko ni kupotezea watu muda?
 
Hii ndio Habari sasa.

Ndugu watatu wa familia moja watakaa jela na pengine mauti yakawakuta huko kabla hata ya hukumu.

Bado ukifikiria vizur wanaweza pigwa kitanzi... na maisha yakaishia hapo.

majuto mjukuu.

Ubaya una kwao.
Mkewe ni yupi hapo?aliejiua ni yupi?link ya hiyo story ya kujiua?
 
Iliisha watuhumiwa nane akiwemo huyo mzee wa Kanisa walihukumiwa kunyongwa Hadi kufa. Nadhani wamekata rufaa. Ukifuatilia hiyo kesi utagundua Tanzania bado ina wapelelezi waliobobea, maana kila mtuhumiwa alikuwa na sehemu yake kwenye mauaji.
Kuna Uzi wake humu tuusome ????

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom