I LOVE YOU DUCE
Member
- Mar 21, 2024
- 30
- 135
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.
Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.
Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.
Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?