Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).

Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.

Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.

Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.

Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Daah umenikumusha miaka hiyo UDSM mlo mmoja na lectures za engineering daah hatari sana sahivi nakula ninachojisikia. Mungu akusimamie usikate tamaa
 
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).

Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.

Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.

Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.

Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Kama bwana mdogo anasema Ni ya kweli
Tumsaidie isije akajinyonga maana afya ya akili is Real..

Kama hauto jali weka more information upate msaada..
 
Shida ya raia mlioko humu kila mtu ni tajiri, ana hela, ana degree au master, ana gari kali nk. Ukute una akaunti nyngne huko ni kubeza watu kukejeri watu, una utajiri nk sasa hii ni akaunti ya maisha yako halisi. So siwezagi saidia mtu wa jf mimi.
 
Una mkopo au?
Kama huna mkopo maisha ya chuo ni magumu.
Mimi nilikosaga mkopo niliambiwa kozi niliyoomba hawapewagi mkopo.

Nikaambiwa wanapewa mkopo waliosomea shule za serikali, mimi nimesoma private na o'level nje ya tz kwa hiyo ikawa ngumu kupata mkopo.

Solution nikaanza biashara za nguo, sikuwahi kuingia darasani juma nne na ijumaa labda kama nina mtihani.

Mungu ni muaminifu stress zote hizo sikuwahi kupata sap, cheti kimejaa c za kutosha, sina A nadhani nina B 3 sikumbuki vizuri.

Biashara hiyo ilinipa vijipesa, wadada wakipata boom mm nawaletea nguo kali za kuendea club.
Nilikuwa nakula vizuri na ada kiasi inapatikana kwenye biashara nyingine naitoa kwingine niliko kuwa nimeweka ka hela fulani faida napata kwenye msimu.

Chuoni sio lazima usome tu, fanya na vitu vingine vikuingizie ka pesa, huwezi kuendelea kuwaomba wazazi wakati kuna wadogo zako.

Kama nilifaulu chuo na koz ngumu vile wewe utashindwa nini? Wakati wa usiku kauze nguo na weekend.

Huwezi kusoma wakati una njaa. Polee.
 
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).

Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.

Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.

Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.

Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Hauna boom?
 
Back
Top Bottom