NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Bado atalipa Ada mwamba!hela ya kula hamna kabisa hapo!I know ila mpk anafika 3rd year, alikua anaishije? Kingine avumilie mpunga unatema j3...
Cafeteria yenyewe msosi buku kama ngumi!
Mwamba anatakiwa ale ugali mkubwa was kisukuma kabisa ili gut ikae sawa!
Anateseka Sana jamaa!