luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Real life na GPA kubwa ni kitu tofauti cha muhimu kichwani kwako kuna nini, chuo its not all about GPA kubwa, 3 na kuendelea ni simpo kuipata na inatosha na maisha unatoboa vizuri tu.Kwa kifupi chuo kusoma bila hela inaathiri ata performance nadhani na ww umejiona umepiga vikarai vya kutosha bila shaka umegraduate na GPA ya pass kwa maana chini ya 2.7 ( hii tutaita gentleman GPA😀) kusoma chuo kuna hitaji utulivu wa akili usiwe na stress kuhusu pesa
Naamini ungetulia ata first class ungepiga
Naamini huyu mwamba anapitia kwenye kikombe na itamletea shida kutoka na poor performance
Wangapi unawajua wana GPA kubwa maisha yamewacharaza mitaani? Point ni kwamba apart from GPA kubwa una kingine chochote kichwani? Una kitu kingine cha ziada? Maana hata kwenye interview unaulizwa hili swali kwamba tofauti na vitu ulivyosoma darasani, una kitu chochote cha ziada unacho weza kufanya.
All in all nahamasisha watu wasome wawe na ndoto kubwa wawe na exposure ya mambo mengi, kwa wale wenye ndoto za kwenda nje ya nchi huko hakuna kubahatisha, elimu yako itakubeba maana lazima ukutane na wasomi, inshort unatakiwa kuwa na kitu cha tofauti kichwani.
Serikali iwasaidie watoto walioko mashuleni ili waweze ishi ndoto zao.