Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

Wajuaji msihukum na kutoa maelezo marefu .. unaweza said Fanya hivyo ila mwafrika sio mzungu...msaada kwake na kukusema tu! Na kukuona boya flan..mzungu anatoka ulaya anatoa msaada kwa watu hata lugha wahawaelewani.
Ngozi hazifanani..
Mzungu Atabaki juu siku zote🙌
 
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).

Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.

Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.

Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.

Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.

Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Mimi ni miongoni mwa watu waliojipambania wenyewe mpaka wakajipata! Nakumbuka miaka hiyo ya 1990s niko chuo first year sijui hata kubajeti hela! Naigonga kwa kijirusha viwanja na nyapu alafu ikiisha ndo akili zinanijia kukumbuka masomo! Namshukuru Mungu nilimaliza lakini issue ya kushinda njaa kukonda mpaka kuinamia meza kuandika mtihani ni kipengele kwani unahisi mbavu zinagusana si kwa maumivu hayo unayosikia! Kila dakika unabadilisha kalio hili unaweka hili! Alafu ukibahatika kupata msosi masaa mengi (kama sio siku) yamepita bila kula chakula cha kueleweka, ukija kula dakika 10 baadaye jiandalie mahali pa kushusha mzigo wa uhalo! 😂😂😂 Hatari! Kipindi hicho ukipita gate la chuo cha maji kulikuwepo uwanja wa mpira pembeni kuna vichaka! Ukichepuka unakutana na mizigo kama yoote mingine bado fresh inakutia moyo kuwa kumbe changamoto ninayopitia sio mimi peke yangu! Hatari!!!
 
weka namba acha blah blah kabla sjalog out
Aweke namba halafu aseme yeye jinsia gani.
Halafu aseme kama ni halotel au airtel au tigotel.
Ajabu nimeandika message at 3:15. That,as I said,is my pilot name.
So,weka namba,what are you waiting for,kid?
 
Shikamoo Mzee wangu,... wazee wa FOE wengi ndo miaka yetu wamemalizia miaka yao ya kutufundisha na wamestaafu, wengine wametangulia mbele za haki kama Prof Mayo, Prof Mrema,.... enzi hizomlipiga kitabu cha ukweli.
Marahaba kijana! Unaongelea Prof. Mrema yule wa CPE alifariki? Yule aliwahi kuwa DP Administration MUCE ya Iringa?
 
Una mkopo au?
Kama huna mkopo maisha ya chuo ni magumu.
Mimi nilikosaga mkopo niliambiwa kozi niliyoomba hawapewagi mkopo.

Nikaambiwa wanapewa mkopo waliosomea shule za serikali, mimi nimesoma private na o'level nje ya tz kwa hiyo ikawa ngumu kupata mkopo.

Solution nikaanza biashara za nguo, sikuwahi kuingia darasani juma nne na ijumaa labda kama nina mtihani.

Mungu ni muaminifu stress zote hizo sikuwahi kupata sap, cheti kimejaa c za kutosha, sina A nadhani nina B 3 sikumbuki vizuri.

Biashara hiyo ilinipa vijipesa, wadada wakipata boom mm nawaletea nguo kali za kuendea club.
Nilikuwa nakula vizuri na ada kiasi inapatikana kwenye biashara nyingine naitoa kwingine niliko kuwa nimeweka ka hela fulani faida napata kwenye msimu.

Chuoni sio lazima usome tu, fanya na vitu vingine vikuingizie ka pesa, huwezi kuendelea kuwaomba wazazi wakati kuna wadogo zako.

Kama nilifaulu chuo na koz ngumu vile wewe utashindwa nini? Wakati wa usiku kauze nguo na weekend.

Huwezi kusoma wakati una njaa. Polee.
Kwa kifupi chuo kusoma bila hela inaathiri ata performance nadhani na ww umejiona umepiga vikarai vya kutosha bila shaka umegraduate na GPA ya pass kwa maana chini ya 2.7 ( hii tutaita gentleman GPA😀) kusoma chuo kuna hitaji utulivu wa akili usiwe na stress kuhusu pesa
Naamini ungetulia ata first class ungepiga

Naamini huyu mwamba anapitia kwenye kikombe na itamletea shida kutoka na poor performance
 
Njaa ni balaa aisee . Namshukuru Mungu hela ya kula hainitesi na nalisha watu kadhaa bila mimi watakaa njaa .
Ila mapito niliyopita ni noma
Mungu akupiganie
 
Hili wazo liliishia wapi?
😁😁😁 hajui kama watu wanafuatilia
JF ni noma,kumbe anajibana ili apate mtaji si angeweka wazi tu kwamba anatunza mtaji wa kwenda kuanzisha biashara ya chai na kilimo kama alivosema😀
 
Mkuu, nipo mwaka wa tatu, nalipiwa ada asilimia 17 na bodi, nyingine naongeza mm kutoka kwenye boom, Sina mpenzi mana najua hali ya nyumbani kwa Kwel maisha ya hapa Duce yamekuwa mwiba kwangu
Sasa boom jamani si inatosha kabisa! Yaani elfu 10 per day haitoshi? Home waambie kabisa wewe ni mwanafunzi huna mshahara! Ada ya duce haizidi 1.2m sasa unashindwa nini? Msosi kantini siyo 1500?
 
Mkuu, nipo mwaka wa tatu, nalipiwa ada asilimia 17 na bodi, nyingine naongeza mm kutoka kwenye boom, Sina mpenzi mana najua hali ya nyumbani kwa Kwel maisha ya hapa Duce yamekuwa mwiba kwangu
Unakaaje mda wote bila kutomb@ ka huna demu au me mawazo yangu tu ya kifedhuli
 
Back
Top Bottom