I LOVE YOU DUCE
Member
- Mar 21, 2024
- 30
- 135
Wewe unataka upate pesa wakati bado unasoma?Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.
Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.
Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.
Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Katika hali kama hii ulifikaje chuo? Ni chuo gani unasoma? Kama ni DUCE ulipataboom? Au ulilitumia kufungulia zipu? Kuruka viwanja na kununua iPhone? Hapo lazima uumie teacherMaisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.
Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.
Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.
Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Inawezekana mwamba hajapata hslb 100%,analipa Ada Hela ya boom!!Wewe utakuwa first year, mkifika chuo mnajisahau mnahonga na kula bata. Kingine kuwa na bajet unapopata hela ya kujikimu, usijihusishe na mambo mengi yasiyo ua msingi fanya kilichokupeleka chuo, hayo mengine yape nafasi kidogo
Mkuu, nipo mwaka wa tatu, nalipiwa ada asilimia 17 na bodi, nyingine naongeza mm kutoka kwenye boom, Sina mpenzi mana najua hali ya nyumbani kwa Kwel maisha ya hapa Duce yamekuwa mwiba kwanguWewe utakuwa first year, mkifika chuo mnajisahau mnahonga na kula bata. Kingine kuwa na bajet unapopata hela ya kujikimu, usijihusishe na mambo mengi yasiyo ua msingi fanya kilichokupeleka chuo, hayo mengine yape nafasi kidogo
weka namba acha blah blah kabla sjalog outMkuu, nipo mwaka wa tatu, nalipiwa ada asilimia 17 na bodi, nyingine naongeza mm kutoka kwenye boom, Sina mpenzi mana najua hali ya nyumbani kwa Kwel maisha ya hapa Duce yamekuwa mwiba kwangu
How did you survive kwa miaka hiyoo mingine, na haukupata experience za kuweza ku handle situation, maana mtu kufikia 3rd year unakuwa tyr mzoefu, ww jinsia gani kwanza tuanzie hapo?Mkuu, nipo mwaka wa tatu, nalipiwa ada asilimia 17 na bodi, nyingine naongeza mm kutoka kwenye boom, Sina mpenzi mana najua hali ya nyumbani kwa Kwel maisha ya hapa Duce yamekuwa mwiba kwangu
Noma sanaInawezekana mwamba hajapata hslb 100%,analipa Ada Hela ya boom!!
Sometimes Huwa pagumu Sana kama boom likichelewa!!
I know ila mpk anafika 3rd year, alikua anaishije? Kingine avumilie mpunga unatema j3...Inawezekana mwamba hajapata hslb 100%,analipa Ada Hela ya boom!!
Sometimes Huwa pagumu Sana kama boom likichelewa!!
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.
Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue sielewi lekcha anachofundisha njaa inataka kuniua.
Kama kazi na madili na fanya lakini still mambo magumu.
Kama ndio nipo chuo, na Hali ipo hivi je nikimaliza?
Pole man mi nilikua na hslb 100% na Bado nilikua nachezea za uso!!Mkuu, nipo mwaka wa tatu, nalipiwa ada asilimia 17 na bodi, nyingine naongeza mm kutoka kwenye boom, Sina mpenzi mana najua hali ya nyumbani kwa Kwel maisha ya hapa Duce yamekuwa mwiba kwangu
Usishindane na girl.
Hivi hii hali ngumu ya maisha ya chuo mbona wengi lialia ni jinsia ya kiume? Jinsia ya kike wote wanapata boom 💯 au? Wao wanawezaje au mkipata hela wanawakamua mpaka zikiisha wanawabwaga?