Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

Real life na GPA kubwa ni kitu tofauti cha muhimu kichwani kwako kuna nini, chuo its not all about GPA kubwa, 3 na kuendelea ni simpo kuipata na inatosha na maisha unatoboa vizuri tu.

Wangapi unawajua wana GPA kubwa maisha yamewacharaza mitaani? Point ni kwamba apart from GPA kubwa una kingine chochote kichwani? Una kitu kingine cha ziada? Maana hata kwenye interview unaulizwa hili swali kwamba tofauti na vitu ulivyosoma darasani, una kitu chochote cha ziada unacho weza kufanya.
All in all nahamasisha watu wasome wawe na ndoto kubwa wawe na exposure ya mambo mengi, kwa wale wenye ndoto za kwenda nje ya nchi huko hakuna kubahatisha, elimu yako itakubeba maana lazima ukutane na wasomi, inshort unatakiwa kuwa na kitu cha tofauti kichwani.

Serikali iwasaidie watoto walioko mashuleni ili waweze ishi ndoto zao.
 


Nimepita hapo, na wewe utapita.
 
Hivi hii hali ngumu ya maisha ya chuo mbona wengi lialia ni jinsia ya kiume? Jinsia ya kike wote wanapata boom [emoji817] au? Wao wanawezaje au mkipata hela wanawakamua mpaka zikiisha wanawabwaga?
[emoji23][emoji23][emoji23] wapo pia ke wanaolia ugumu wa maisha chuo, ni vile hujakutana nao.
 
Ni rahisi sana hili kuandika, ila hata me niliingia field kufanya, nilichokutana nacho, nkajisemea kila kitu kina njia na mfumo wake.

Tusikariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…