Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Naomba unijuze maana ya "Kidawisee".

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Choose God Honey.

You will never regret.

The Good Lord holds the key to all the beautiful things in this world. Like Happiness, love, wealth, and Good health.

When the time is right He will unlock all the goodies with perfect timing.

If he insists on adultery, the more reason you should let him go.

Good Luck.
 
How about you cute
 
Sasa ukizn c unatubu mambo mengne yanaendelea , usimbanie jamaa bana .
 
Tunajiombea wenyewe,ila kuna mda mtu anashindwa kuomba kutokana na hali atakayopitia wakati uo.Ndio maana Mungu alisema,popote mtakapokusanyika kwa jina langu,ntakuwepo.Alimaanisha huwezi kuomba peke yako.
Si kweli dada angu,me sijui una muda gani kwenye wokovu but kwa kauli hii nimejua wewe unaanguka kwenye uzinzi sababu inaonekana bado hujapata ufahamu vizuri neno likakolea...Yesu ambae ametufunisha jinsi ya kuomba alikua anajitenga we unasema mtu hawezi omba peke ake..kwaio wewe huwa huombi mpaka uwe na mtu?na mtu mwenyewe ndio huyo anakurudisha kwenye uzinzi?

Ushauri wangu kua na msimamo,biblia inasema IKIMBIENI ZINAAA narudia IKIMBIE hili sio jambo la kiroho tu ni la kimwili pia USIWEKE MAZINGIRA YA WEWE NA HUYO MTU KUWA FARAGHA ETI MNAOMBA wengi sana wanaanguka hapo,kama mnania ya kuomba kaombeni kanisani.

Pia tafuta sana ufahamu kuhusu mambo ya Mungu na neno,soma neno kwa kutafakari na Mualike Roho akuongoze ULIELEWE,mana shetani haogopi NENO wala HAMUOGOPI ALIEOKOKA ila anamuogopa MTU ALIEOKOKA ANAELIFAHAMU NENO ndio maana Yesu alipojaribuwa alijibu kwa NENO ambalo akiwa analielewa vizuri.

Usijibusu wala kutomasana wala kukaa faragha imetusaidia sana wenzio.Hakuna mizimu apo wala wachawi IKIMBIE ZINAA.
 
Poleni,hamjui nnayopitia,Ungenihurumia maana sio mepesi kiasi kwamba ning'ang'anie uzinzi nkamuacha Mungu.
Seems unapitia makubwa sana, Mungu akutangulie akufungulie milango ya magum unayopitia
 
Wenye uelewa watakuelewa mkuu umemaliza kila kitu.
 
Dada mweleze tu kwa hekima kuwa mnachofanya akimpendezi MUNGU, maana mnafanya uzinzi, na uzinzi ni chukizo kwa MUNGU.
Na ili mfanikiwe inawabidi mumfuate MUNGU.
 
Unakitu unahitaji, sema mapema ajue, hakuna wa kukusemea....
 
Yes@Noelia Haya mambo ya kiroho acha tu,mimi kabla sijazini nlikuwa fresh tu,nkaanza uhusiano mambo yanavurugika,nkaaacha nkawa vinzuri,nlivorudia ndio balaa,Vita kali mnoo.Nashukuru Mungu nmepata neema ya kujua mlango.
Fuat mlango huo wa neema utashangaa mengi katika maisha yako yanafunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…