Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Je unampenda kabla ya hayo yote?

Kama jibu ni ndio basi usione shida kumwambia ukweli aamue yeye.

Kama humpendi basi kazia hapo hapo hiyo sababu ushamtafutia. Mwambie kwa nguvu kubwa......kuzini ni dhambi mimi staki tena😉 Mungu hapendi uzinzi😂 sema yote yaan coz jibu unalo kuwa hakuwazii ndoa.atachomoa betri mwenyewe

Wanawake tunajuana wenyewe.
 
Kumbe!
Iwe ndo point ya kupeperuka aah sio vizuri ujue.
 
Wajifahamu zaidi ya namna tunakufahamu sisi, Ni vyema unasali kkama usemavyo, nenda madhabahuni weka nia yako tolea sadaka, nenda mwambie huyo kijana kama humpendi au wampenda wataka akuoe , neno lolote lile uwazalo Mungu hatakunyima, jitahidi usiwe na nia mbili Mungu hachezewi
 
Nendeni polepole na hizi dini zinawaendesha sana. Dini zipo kwaajili ya mwanadamu sio mwanadamu kwaajili ya dini.
 
Umefuga nyoka lazima akugonge
 
yupo kwenye mtiani mzito sana ubaya wa haya mambo je atakuwa really through out her whole life au itakuwa sometimes tu
Mapenzi ni pamoja na penzi sasa mapenzi bila penzi si mapenzi tena
 
[emoji3][emoji3][emoji3] au jamaa ashakula tunda kimasihara..
Mkuu mambo mengine ni utoto unajiita mlokole umezin kabla ya ndoa saiz eti unasema hutak kuzin tena nina hasira nao hawa kuna manzi mmoja nilimsotea kinoma kama miez sita mm nikajua kikombe mm ndio takivunja alikua ananiambia hawez kufanya bila ndoa siku moja akaachia kuweka mpini ukazama nilishangaa sana
 
Pole dada kwa changamoto unayopitia
Mimi kwa ushauri ni kuwa;
Ukianzisha mahusiano lazima uyapime uone ni ya Ngono tu au yanakupelekea kwenye Ndoa?
Ukianzisha mahusiano na mtu, kwa muda mfupi akaanza kutaka papuchi jua hayo mara nyingi sio muoaji
Muoaji haweki papuchi kipaumbele kwani anajua mipango ikikaa sawa atakuwa mmiliki hivyo hana haraka

Mimi ninachofikiri;
Endelea na mahusiano ILA usimpe tena papuchi kwani inaonekana wewe huna uzoefu na hayo mambo, LAKINI muhimu zaidi, utakapo mnyima ndio utaona uelekeo wake kama ni muoaji au anataka kujitimizia; Na kama ni muoaji na wewe upo tayari AKAJITAMBULISHE KWENU
Akingangania au Kuzira; Piga chini kwani sio muoaji

Mwisho; hukusema unarudije Nyuma huko kanisani:
Hupati muda wa kuhudhuria kwa kuwa unakuwa busy?
Vioi shuhuli zako za kimaisha zinakwendaje? au ni huko kanisani pekee?
 
huyo jamaa hakupigi mpini vizuri,angekuwa anakupiga mpini vizuri usinge kuja hapa kuandika ujingaujinga kama huu.
 
Tunajiombea wenyewe,ila kuna mda mtu anashindwa kuomba kutokana na hali atakayopitia wakati uo.Ndio maana Mungu alisema,popote mtakapokusanyika kwa jina langu,ntakuwepo.Alimaanisha huwezi kuomba peke yako.
But you're conscious. Make personal prayers and God will "personally" listen to you. Unfortunately, wakristo hata biblia hamuisomi mkaielewa. Had you read it well, msingekuwa mnaibiwa namna hiyo ya sijui maombi etc etc. Ndiyo maana bible yenu inawaambia msinywe pombe but you guys drink. It forbids you to eat pork but mnafakamia tu. Anyway, all the best katika maombi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…