Mzee kwani unakula upinzani kiasi kwamba usipochukua nchi utalala njaa?Huu ndio utoto, umeona naongelea uccm hapo by the way kama umenifatilia sijawahi kuwa pro CCM punguza ujuha chukua ushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee kwani unakula upinzani kiasi kwamba usipochukua nchi utalala njaa?Huu ndio utoto, umeona naongelea uccm hapo by the way kama umenifatilia sijawahi kuwa pro CCM punguza ujuha chukua ushauri.
Bora wapigania tumbo kuliko wauaji, watekaji, wafirauni na wanafikiUpinzani wa Tanzania [emoji1241] ni upigania tumbo tu wala hawana jipya.
Chama kama Chadema kinapokusanya mashabiki na kuwahamasisha kwenda mahakamani Arusha kwenda kumzomea Sabaya kisa kumtuhumu alisimamia mbowe kukosa ubunge.Halafu Mbowe huyohuyo anaunda mtandao wa mwendesha mashtaka Kweka ambaye ni mkwe wake ,na kuhakikisha Sabaya anafungwa.
Zamu Inapomgeukia Mbowe na makomandoo wake, Chadema wote wanageukia huko na shughuli zao za chama zinasimama.wanasahau methali ya mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu.
Kisa mbowe ndie anazo akaunti zote za chama na bila yeye kusaini hata mishahara haitoki.
Mtoa hoja yuko sawa kabisa.Kuna vitu vingine sisi wengine tumeamua kukaa kimya. Kiukweli kabisa Tanzania, kwa huku bara, hatuna kabisa upinzani wa kweli na wa maana. Huu uliopo ni upinzani uchwala.
PUpinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwara? Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au?
Wanabodi, Huu ni muswada wa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Leo nazungumzia umuhimu wa kuwa na upinzani makini na upinzani wa kweli kwa maendeleo ya taifa, bila kuwepo kwa upinzani makini, hakutakuwa na CCM imara, kwasababu imethibitishwa pasipo shaka, nchi zenye upinzani legelege...www.jamiiforums.com
Mpigania tumbo anaweza fanya lolote sababu ya tamaa, ndio maana Mbowe alidiriki kumpuyanga Dk Slaa ili amuuzie chama Lowassa.Bora wapigania tumbo kuliko wauaji, watekaji, wafirauni na wanafiki
Tabula RassaNaanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo.
Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala ambao wanajulikana maarufu kama wapinzani,
Sikukubaliana na uminywaji wa Demokrasia si Kwa wapinzani tu bali hata kwa wanachama wa Chama chetu! Haikuishia hapo wakaanza hata kurekodiwa na kukagua hata meseji Kwa mtambo maalumu ambao kwa secret agreements ulinunuliwa kwa Mgongo wa Rwanda kuletwa nchini kipindi bado kagame hajamdhulumu Magufuli mambo kadhaa!
Tumelipigania hilo Kwa udi na Uvumba kabla yaa Kushinda vita Mungu akatushindia.
Sasa tukarudi kwenye msingi wa kuhoji yaliyo ya maana na mengine ya kupoteza Muda tukaachana nayo!
Nashangaa wapinzani wa Tanzania ukiwa na hoja mbadala yao wanaona we msaliti nawauliza ni wapi niliwai kutamka mimi ni mpinzani?
Katika masuala y’a Msingi lazima tukosoane, siku hizi Imekuwa kila kukicha mazungumzo kwenye Space huko twitter na action ni zero Imekuwa kama kikao cha soga!
Haijaisha topic moja na solution zake washadakia nyingine
Kinachoudhi zaidi Kuna Upotoshaji mwingi sana kwenye hoja za baadhi ya watu muhimu ndani ya Upinzani
Nimeangalia Sakata la Kesi ya Mbowe japo naamini siyo gaidi na hana uthubutu wa kufanya mambo y’a kigaidi ila wamekuwa ni wepesi Kumshambulia mtu yeyote anayeonekana kuwapa mawazo mbadala Au kuhoji jambo kuweka mambo sawa!
Tuanze ushahidi kutoka Tigo, wanasema Tigo hawakupaswa kutoa ushahidi, Seriously [emoji19]!
Someni Duty of Secrecy and exemption zake
Tusiwapotoshe wananchi wao wakaona Soln ni kuhamasisha kuvunja line, je na Voda wakitoa ushahidi na airtel mtahamia wapi?
Na Mashahidi wanaendelea kumiminika ama wa kutengenezwa Au wa kweli na wengine kuanzia week ijayo wanatoka Chama chake mtashangaa
Britanicca
It's true, unajua hata CCM wanabadilika kila Utawala mpya unapoingia wao husoma upepo wa kiongozi aliyepo sasa upinzani lazima nao wajifunze kutembea na reli bila kuathiri malengo makuu ya vyama vyao.
Ndugu Kuna wakati mnanajisi maendeleo ya nchi yetu kwa makusudi kabisa,Hatukatai ila Basi Dawa mbadala ionekane kuleta Matumaini
Kuna vitu vingine sisi wengine tumeamua kukaa kimya. Kiukweli kabisa Tanzania, kwa huku bara, hatuna kabisa upinzani wa kweli na wa maana. Huu uliopo ni upinzani uchwala.
PUpinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwara? Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au?
Wanabodi, Huu ni muswada wa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Leo nazungumzia umuhimu wa kuwa na upinzani makini na upinzani wa kweli kwa maendeleo ya taifa, bila kuwepo kwa upinzani makini, hakutakuwa na CCM imara, kwasababu imethibitishwa pasipo shaka, nchi zenye upinzani legelege...www.jamiiforums.com
Huko space unafuata nini? Mbona wapinzani hawafuatilii tena mijadala yenu huko bungeni, kwenye vipindi vya media ikiwemo radio, tv nk. Hivi majuzi kulikuwa na zoom meeting sijui ya mambo ya maendeleo, na rais alishiriki, umeona wapinzani wakitamani hata kushiriki?Hatukatai ila Basi Dawa mbadala ionekane kuleta Matumaini
Kwa maneno marahisi unasema wapinzani na wao wawe bendera fuata upepo kuendana na rais aliyeko kama ccm?
Kuna maandishi umeyaruka either kwa makusudi au umeamua kutohusisha ubongo wako vizuri tu. Read between the lines nimeandika "bila kuathiri malengo makuu ya vyama vyao" waweza kuichambua hii statement kidogo utaelewa. Usitumie maneno marahisi kama ulivyosema dig in brother/sister.
Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo.
Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala ambao wanajulikana maarufu kama wapinzani,
Sikukubaliana na uminywaji wa Demokrasia si Kwa wapinzani tu bali hata kwa wanachama wa Chama chetu! Haikuishia hapo wakaanza hata kurekodiwa na kukagua hata meseji Kwa mtambo maalumu ambao kwa secret agreements ulinunuliwa kwa Mgongo wa Rwanda kuletwa nchini kipindi bado kagame hajamdhulumu Magufuli mambo kadhaa!
Tumelipigania hilo Kwa udi na Uvumba kabla yaa Kushinda vita Mungu akatushindia.
Sasa tukarudi kwenye msingi wa kuhoji yaliyo ya maana na mengine ya kupoteza Muda tukaachana nayo!
Nashangaa wapinzani wa Tanzania ukiwa na hoja mbadala yao wanaona we msaliti nawauliza ni wapi niliwai kutamka mimi ni mpinzani?
Katika masuala y’a Msingi lazima tukosoane, siku hizi Imekuwa kila kukicha mazungumzo kwenye Space huko twitter na action ni zero Imekuwa kama kikao cha soga!
Haijaisha topic moja na solution zake washadakia nyingine
Kinachoudhi zaidi Kuna Upotoshaji mwingi sana kwenye hoja za baadhi ya watu muhimu ndani ya Upinzani
Nimeangalia Sakata la Kesi ya Mbowe japo naamini siyo gaidi na hana uthubutu wa kufanya mambo y’a kigaidi ila wamekuwa ni wepesi Kumshambulia mtu yeyote anayeonekana kuwapa mawazo mbadala Au kuhoji jambo kuweka mambo sawa!
Tuanze ushahidi kutoka Tigo, wanasema Tigo hawakupaswa kutoa ushahidi, Seriously 😒!
Someni Duty of Secrecy and exemption zake
Tusiwapotoshe wananchi wao wakaona Soln ni kuhamasisha kuvunja line, je na Voda wakitoa ushahidi na airtel mtahamia wapi?
Na Mashahidi wanaendelea kumiminika ama wa kutengenezwa Au wa kweli na wengine kuanzia week ijayo wanatoka Chama chake mtashangaa
Britanicca
Sitaki kuwa mnafiki, CCM ndicho chanzo (mtambo) wa matatizo yote nchini.
Futeni Kesi za uongo
Hatukatai ila Basi Dawa mbadala ionekane kuleta Matumaini
Well, nahisi una Mambo yako, relaxWw ndio uko na making scheme nini?