Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

Pole, do not trust an empty stomach.
 
Keshaapishwa tayari
 
Njaa hainaga jasiri bwana Taratibu faster kala kiapo.
 
Mwamba haendi Kuapishwa I tell you subiri kukuche uone. Akienda ataapishwa kisha atajiulu kabla hajaenda Malawi.
Ataenda chuo Kwanza halafu wahuni watakutana naye kabla hajaenda Malawi.Atatangaza kuchanga ndo aende Malawi.Wahuni siyo watu.
 
Vipi bado unaota? Mwenzenu njaa imeuma ameamua ajiunge tu maana hawezi kusujudu wafu.

Nyie enedeleeni kudanganyika tu mnajikusanya Kama watoto wa secondary, wake up brother this is real life, kila mtu anatetea tumbo lake.

Akatae nafasi halafu mtampa chakula nyie au ndio mnataka muendelee unyonge sio?? Amekataa unyonge amegundua ni ufala kuishi kusujudu wafu
 
Jiwe alimfanya Nchimbi hivyo hivyo akamtupa Brazil!! Afadhali hapo Malawi sio mbali sana anaweza kupanda basi akaja kuangalia miradi yake! Polepole alikuwa na mradi wa Uwakala wa mitandao ya Simu kule Bahari beach!!
Hahah kumbe unapajua pale karibu na Kona ya kwenda bahari beach kwenye zile fremπŸ˜ƒ
 
πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
 
mwenzio anakenua hadi jino la mwisho wewe unasemaje [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…