Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Malizia sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi nimekukumbusha Tu...mana kuna wenzako wengi walikuja na story nzuri kama yako mwishoe wakaishia mitini ndio mana tunawakumbusha mapema hasa tukiona neno itaendelea....Ndg, Labda nikujuze tu, mimi si mjuzi sana wa kuandika makala ndefu. Hata hivyo ninapoandika passage moja , napata muda wa kufanya mambo mengine Pia. Ni ngumu kushinda kwenye button natype story. Familia itakufa njaa. Kuwa mtu wa subira na ustahimilivu
Alafu nilikuwa naomba ajibu hii ni story ya kweli au ya kutunga? Na kama ya kweli yupo tayar tumchaleng?Punguza vitu visivyohitajika vinarefusha uongo wako
aje na mikate kabisa...
Kwa hiyo umekuwa invigilator? Hata hivyo nashangaa umeacha usingizi wako Ila uko hapa unafuatilia uongo in this bad time of the night!Punguza vitu visivyohitajika vinarefusha uongo wako
Ninyi watu mliozaliwa miaka ya 2000, lazima utashangaa nakuona nafanya mbwembwe. Mtu hujawahi hata tembea kilometa moja, daladala kila siku, leo ukiambiwa mtu anatembea hadi miguu inawaka moto unaona ni mbwembwe na bila shaka unaona chai!😂😂 story nzuri ila mbwembwe zimezidi hadi ndoto mar mguu ukawaka 🔥 bla bla bla blaa
You're welcomeAlafu nilikuwa naomba ajibu hii ni story ya kweli au ya kutunga? Na kama ya kweli yupo tayar tumchaleng?
Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembweNinyi watu mliozaliwa miaka ya 2000, lazima utashangaa nakuona nafanya mbwembwe. Mtu hujawahi hata tembea kilometa moja, daladala kila siku, leo ukiambiwa mtu anatembea hadi miguu inawaka moto unaona ni mbwembwe na bila shaka unaona chai!
Basi wewe penye mbwembwe paruke, tembea na msg ya uzi. Alafu siwezi fanya hii story kuwa bored kwa watu.Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembwe
Mkuu, kuwa mvumilivu tu!Basi wewe penye mbwembwe paruke, tembea na msg ya uzi. Alafu siwezi fanya hii story kuwa bored kwa watu.
By the way, una haki ya kukosoa.
Hujaelewa mantiki yangu, mbwembwe zinarefusha story,,Basi wewe penye mbwembwe paruke, tembea na msg ya uzi. Alafu siwezi fanya hii story kuwa bored kwa watu.
By the way, una haki ya kukosoa.
Unachokiona kwako ni 'nothing' kuna uwezekano mkubwa kwa mwingine ni 'something'Hujaelewa mantiki yangu, mbwembwe zinarefusha story,,
Sidhani haya tuendelee tulipoishiaUnachokiona kwako ni 'nothing' kuna uwezekano mkubwa kwa mwingine ni 'something'
Mkuu Bendera ya Bati unachelewesha stori bila sababu za msingi. Tupia yote ukija au utueleze kama ina seasons kadhaa tujipange.Napanga kutupia mwendelezo kabla ya Jambo la kitaifa kuanza pale Ben Mkapa. By saa sita mwendelezo utakuwa hapa.