Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Ndg, Labda nikujuze tu, mimi si mjuzi sana wa kuandika makala ndefu. Hata hivyo ninapoandika passage moja , napata muda wa kufanya mambo mengine Pia. Ni ngumu kushinda kwenye button natype story. Familia itakufa njaa. Kuwa mtu wa subira na ustahimilivu
Sahihi nimekukumbusha Tu...mana kuna wenzako wengi walikuja na story nzuri kama yako mwishoe wakaishia mitini ndio mana tunawakumbusha mapema hasa tukiona neno itaendelea....

I hope itaendelea hii na utakuwa Bora kuzidi waliopita
 
😂😂 story nzuri ila mbwembwe zimezidi hadi ndoto mar mguu ukawaka 🔥 bla bla bla blaa
 
😂😂 story nzuri ila mbwembwe zimezidi hadi ndoto mar mguu ukawaka 🔥 bla bla bla blaa
Ninyi watu mliozaliwa miaka ya 2000, lazima utashangaa nakuona nafanya mbwembwe. Mtu hujawahi hata tembea kilometa moja, daladala kila siku, leo ukiambiwa mtu anatembea hadi miguu inawaka moto unaona ni mbwembwe na bila shaka unaona chai!
 
Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembwe
 
Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembwe
Basi wewe penye mbwembwe paruke, tembea na msg ya uzi. Alafu siwezi fanya hii story kuwa bored kwa watu.
By the way, una haki ya kukosoa.
 
Napanga kutupia mwendelezo kabla ya Jambo la kitaifa kuanza pale Ben Mkapa. By saa sita mwendelezo utakuwa hapa.
 
Back
Top Bottom