Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Sahihi nimekukumbusha Tu...mana kuna wenzako wengi walikuja na story nzuri kama yako mwishoe wakaishia mitini ndio mana tunawakumbusha mapema hasa tukiona neno itaendelea....

I hope itaendelea hii na utakuwa Bora kuzidi waliopita
 
😂😂 story nzuri ila mbwembwe zimezidi hadi ndoto mar mguu ukawaka 🔥 bla bla bla blaa
 
😂😂 story nzuri ila mbwembwe zimezidi hadi ndoto mar mguu ukawaka 🔥 bla bla bla blaa
Ninyi watu mliozaliwa miaka ya 2000, lazima utashangaa nakuona nafanya mbwembwe. Mtu hujawahi hata tembea kilometa moja, daladala kila siku, leo ukiambiwa mtu anatembea hadi miguu inawaka moto unaona ni mbwembwe na bila shaka unaona chai!
 
Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembwe
 
Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembwe
Basi wewe penye mbwembwe paruke, tembea na msg ya uzi. Alafu siwezi fanya hii story kuwa bored kwa watu.
By the way, una haki ya kukosoa.
 
Napanga kutupia mwendelezo kabla ya Jambo la kitaifa kuanza pale Ben Mkapa. By saa sita mwendelezo utakuwa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…