Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

....Jingazz....
 
Babu kuingia kuingia Benk kuna funguo zaidi ya 3 zinakaa na watu tofautitofauti, koroga tena hii chai haijakorea sukari!!!
 
Hahahah umefeli mpaka hapo na huu utoto usituletee huku peleka Facebook
 
Babu kuingia kuingia Benk kuna funguo zaidi ya 3 zinakaa na watu tofautitofauti, koroga tena hii chai haijakorea sukari!!!
Ngoja nifuate sukari hapa dukani kwa mangi,wewe tulia na 😹hapo sebuleni kwa shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…