smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Njoo na wewe nikuunge make unanionea wivu!!sawa mke wa shetani😁😁😁
hizi ndio info anakupa akiwa faragha nawewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo na wewe nikuunge make unanionea wivu!!sawa mke wa shetani😁😁😁
hizi ndio info anakupa akiwa faragha nawewe.
we faidi tu,wala hakuna mwenye wivu.Njoo na wewe nikuunge make unanionea wivu!!
Sizitaki mbichi hizi!! inakuhusu.......ungekuwa hunionei wivu ungenyamaza Mkuu!! km wenzako! najua unajisikia aibu!! wewe na me wooote ni matajiri kuliko mwanamke!we faidi tu,wala hakuna mwenye wivu.
gazeti lote hili kisa nimekuita mke wa shetani😁😁😁Sizitaki mbichi hizi!! inakuhusu.......ungekuwa hunionei wivu ungenyamaza Mkuu!! km wenzako! najua unajisikia aibu!! wewe na me wooote ni matajiri kuliko mwanamke!
kwa sababu me unaweza ukamuingilia mutu, na ukaingiriwa vile vile ukafaidi kote kote! na ukazaa vile vile! hat mzigo wa mimba Haukusumbui, wkt mkeo anahangaika na mimba huko wewe huku km kawaida unapata pesa,
huoni faida hiyo ni nzuri mazee! njoo bana tule maisha hela hiyo nakuhakikishia atakupa kila kitu....ulijuaje kuwa shetani ana mke km siyo wivu wako uliopitiliza ulikuwa unatuchungulia tukifanya yetu! njoo sema sh.ngapi nikutupie!!
Vichwa maji mnazani kila mtu ni chawa...An old ways of thinking by Mwenzake Chawa
Utakuwa unaishi Brazil.... 2020 Sembe 1,100/= 2022 Sembe 1,800/= ongezeko la 700/=Huoni kwamba wewe ndio taahira maana unaongea upumbavu ambao ubongo wako unakutuma..
Unaweza kuthibitisha jinsi gharama za maisha zimeongezeka kwa 60%?
Mbona Bei za umeme ziko pale pale,Kodi za nyumba ziko pale pale na vyakula Bei zake zina ongezeko dogo..
Kwahiyo were ulitaka gharama za Maisha zipande na 23% hasiongezewe??Sasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% alafu gharam za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
Lengo uelewe kwa undani wivu ukitawala mtu haelewi kirahisi!gazeti lote hili kisa nimekuita mke wa shetani😁😁😁
Kwani ulipo mtaja huyo shetani unaye mtamani hukujua anaishi wapi na mkewe?lakini kimsingi habari za kuzimu umezitolea wapi?
Kama hunionei wivu wa kificho!! mme wangu shetani anakuhusu nini ktk hii thread? ulimjuaje kuwa ana mke? wee! njoo bana!! usione aibu hata ukitaka tunakufuata tu hapo faster! njoo in box!hakika nakwambia sikuonei wivu,wewe faidi tu mkuyenge.
Acha utoto,maisha hayarudi nyuma bali yanaenda mbele.Utakuwa unaishi Brazil.... 2020 Sembe 1,100/= 2022 Sembe 1,800/= ongezeko la 700/=
Vitunguu maji 2020 kilo 1,500/= 2022 kilo 2000. Karoti 1500 per kg now 2,000 bado huna macho ya kuona na huo ni mfano mdogo sana kwenye mahitaji muhimu bado bidhaa za ujenzi mfano nondo 12mm 2020 was 19,000/= now 27,000 bado unashangilia ujinga. Ongezeko la rushwa kwenye taasisi za umma ni balaa. We unaangalia madaraja na kijinyongeza cha mshahara kwa watu wasiozidi 300,000 kati ya 60+milioni. Ndo akili za watendaji wetu tulionao serikalini.
Jiulize idadi ya ndugu zako wanaomba msaada kwako leo na ile kabla ya hapo.
Kuongoza Mashetani. Ni kiranja wao Mkuu. Natoka nduki 🤣🤣🤣Hivi ni kazi gani aliomba kwenda kufanya kule kuzimu😂😂😂
Wewe huna akili kabisa na umejawa na ubinafsi yani watu msiozidi 1milioni mnataka mlipwe zaidi ya watu milioni 59 waliobaki kwa kipi hasa mnachozalisha?Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.
Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.
Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.
Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.
Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.
Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.
Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
na mapenzi yakitawala mtu hupewa siri kuu za kuzimu😁😁.Lengo uelewe kwa undani wivu ukitawala mtu haelewi kirahisi!
shetani makazi yake ni jehanam na anayeyajua yaliyo huko ni msiri wake,ama mkewe.Kwani ulipo mtaja huyo shetani unaye mtamani hukujua anaishi wapi na mkewe?
ilikuwa ni katika kukufunua tu,maana unapenda kumwita jiwe shetani na mshirika wake,wewe kupewa cheo cha umalkiwa wa mkuu wa giza,povu la uzazi.Kama hunionei wivu wa kificho!! mme wangu shetani anakuhusu nini ktk hii thread?
shetani ana mpaka watoto,wake zake nao wana sifa zake.wao huhubiri chuki siku zote mara tu washibapo.ulimjuaje kuwa ana mke?
mimk si wa shetani,namkataa na kazi zake zote kama jpmwee! njoo bana!! usione aibu hata ukitaka tunakufuata tu hapo faster! njoo in box!
Tumbafu!!Tulitaka kuwa na raisi Magufuli kwa miaka kama 20 hivi inchi iendelee
USSR
Mkuu naomba ufungue PM yako nataka nikuulize jambo la kiufundi kidogo, please.na mapenzi yakitawala mtu hupewa siri kuu za kuzimu[emoji16][emoji16].
shetani makazi yake ni jehanam na anayeyajua yaliyo huko ni msiri wake,ama mkewe.
ilikuwa ni katika kukufunua tu,maana unapenda kumwita jiwe shetani na mshirika wake,wewe kupewa cheo cha umalkiwa wa mkuu wa giza,povu la uzazi.
shetani ana mpaka watoto,wake zake nao wana sifa zake.wao huhubiri chuki siku zote mara tu washibapo.
mimk si wa shetani,namkataa na kazi zake zote kama jpm
SAsa km jiwe ni shetani la kuzimu lililoenda kuzimu kwako halafu huyo huyo tena aoe mtakaifu huoni tayari wewe una vurugu ya Maono?? mfuate huko kuzimu!ilikuwa ni katika kukufunua tu,maana unapenda kumwita jiwe shetani na mshirika wake,wewe kupewa cheo cha umalkiwa wa mkuu wa giza,povu la uzazi.
Pastor wako fake kakudanganya!! nenda ufufuo na uzima upate neno!! hao wanao walipo muua Yesu walisema ivo ivo ndo ilikuwa sababu yao kubwa ya kumtundika msarabani!.........watatifu kwao wanaitafsiri kuwa ni chuki tu!shetani ana mpaka watoto,wake zake nao wana sifa zake.wao huhubiri chuki siku zote mara tu washibapo.
WEwe alikukataa kwani? ndo maana unamuonea wivu!! sasa km na shetani amaekukataa utamfaa nani?shetani makazi yake ni jehanam na anayeyajua yaliyo huko ni msiri wake,ama mkewe.
kwa hiyo ndo maana una wivu sababu ya siri za kuzimu tu??? njoo tu hakuna atakaye jua! ila uoge kwanza....siri ya kule uwe mswafi wa mwili unapewa gari!mapenzi yakitawala mtu hupewa siri kuu za kuzimu
jiwe kamuoa mtakatifu gani?SAsa km jiwe ni shetani la kuzimu lililoenda kuzimu kwako halafu huyo huyo tena aoe mtakaifu huoni tayari wewe una vurugu ya Maono?? mfuate huko kuzimu!
wewe nado ni muumini wa manabii 2022 na utu uzima huo,soma bible mwenyewe.Pastor wako fake kakudanganya!! nenda ufufuo na uzima upate neno!!
kile ni kizazi chake ibilisi,ambacho hakipatani na nuru hata siku moja,hao wanao walipo muua Yesu walisema ivo ivo ndo ilikuwa sababu yao kubwa ya kumtundika msarabani!
ndio nyinyi hao..........watatifu kwao wanaitafsiri kuwa ni chuki tu!
ndo mlivyo!!
shetani hawezi kunitaka mimi,si unaona nnavyomparua mkewe hapa!!mimi ni uzao wa haki na nuru bana.WEwe alikukataa kwani? ndo maana unamuonea wivu!! sasa km na shetani amaekukataa utamfaa nani?
gari nnalo mama angu,yule anawapata wapenda vitonga wavivu wa kazi wanaopenda mseleleko.kwa hiyo ndo maana una wivu sababu ya siri za kuzimu tu??? njoo tu hakuna atakaye jua! ila uoge kwanza....siri ya kule uwe mswafi wa mwili unapewa gari!
Pole, ili kutuliza akili yako, nenda kajiliwaze huko Chato. Kafanye usafi na kumwagilia maua kwa mwezi mzima, ukishiriki kwenye zamu za kulinda makaburi yote ya ukoo wa Hayati Mfalme Njozi.Tulitaka kuwa na raisi Magufuli kwa miaka kama 20 hivi inchi iendelee
USSR
Yeye kuwa kuzimu ni jambo la wazi!!! jiulize alitubu wapi kabla ya kifo?? watawala wooote huwekwa na Mungu lkn jiwe alijiweka kwa kuiba kura uongo?? sasa huoni huo ni ushetani??ndiye unadai jiwe yuko kuzimu,usinipake kisonono.
Kizazi cha nyoka ni nyoka tu!! mfano kuandika neno dogo tu ''Bible'' kamwe hakita jua mie sisomi bible zenu za kuzimu hizo!soma bible mwenyewe.
Sisi hatumwiti jiwe shetani unasikia dogo!! bali vitendo vyake tu vina dhirisha ushetani wake!! kwa mujibu wa Biblia nayo iamini kwa Mfano sheria ya Mungu inasema, Usiibe,- yeye aliiba kaenda jenga chato! Usiue yeye kaua Beni sanane na wengine wengi tu!!.....ajabu ya Mungu hakumpa neema ya kutubu popote mpaka anakufa!kile ni kizazi chake ibilisi,ambacho hakipatani na nuru hata siku moja,
ndio sababu wakamwua Yesu kwa midomo mpaka vitendo,kama nyinyi mlivyofanya kwa jiwe.
kama jiwe aliukataa ufi*aji,utoaji mimba,madawa ya kulevya na bado unamwita shetani,mnakimbia kivuli cha boss wenu!!!!
Ni kweli kule kuzimu mna haki sawa na nuru ya kuua, kuteka, kunyang'anya mtakavyo!.....ila jua mlio hai mnapaswa kutubu kinyume cha hapo mtatiwa kwenye ziwa la moto na hao mashetani wenu! ....mwenzako jiwe anajita sana anakiu kweli! anatamani aanze upya lkn historia yake imesha fungwa! hakutubu ati!mimi ni uzao wa haki na nuru bana.
Sikia mkuu wewe usijali njoo na gari lako tu!! mafuta utawekewa kila siku bure!! huoni raha bana kuba??? enhee!gari nnalo mama angu