Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko.
Eleweni wako watu watakaowabeza kucheza Shirikisho wakati wao hicho kikombe hawana na huko waliko hawawezi kupata kikombe. Matokeo ya leo yanaweza kuja kugeuka kuwa ni a blessing in disguise.
Uwezo mnao. Tusubiri draw ya kesho kujua wapinzani wetu wapya.
Kazi kwenu viongozi.