Mdudu Mende
Member
- Mar 31, 2021
- 78
- 120
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.
Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.
Aisee sio kwa balaa hili, kwa kweli, nimewakumbuka sana wasichana niliokuwa nao enzi hizo, yaani naona nimeacha dhahabu nikaokota jiwe.
Yaani kwa sasa siwazi tena manzi yoyote nikitongoza akikubali na nikiona anafaa, hapa nilipo naondoka, naacha huyu mwanamke dunia imtie ilimu.
Na sitachukua mwanamke walau mwenye diploma, ila pia awe tayari kujiendeleza, sio aone ndio kashafika, asogee sogee kielimu tufanane kama ni gap lisiwe kubwa kihivyo.
Nikitongoza mwanamke akisema ni Form Four huwa mzuka unapotea, maana huwa najua mbali na kutongoza unaweza kusema hapa nafanya ya kufanya naondoka halafu unakuta umenasa, sasa ili kuweka mambo vizuri naanza awali kabisa.
Na hii sio kama nawashusha thamani walioshia form four, ni hali ya kawaida tu, sawa na mwanamke kusema anataka mwanaume mwenye hela, au mrefu. Preferences